FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Daah umetoa somo ambalo linaishi aseee...ubarikiwe sana
Duuuuuh[emoji119][emoji119][emoji119]Mimi huwa nikichat na mwanamke mwishon namsisitiza afute conversations. Namwambia, after here am not responsible with the content of our conversations...
Mimi siafiki kushika simu na kuanza kuichunguza na kuiwekea routine kwamba lazima uichunguze.Kama ana affair kuna njia nyingi za kugundua,
1, anaweza kupoteza attention kwako simu ikiita, hiyo ni alarm call, nitagundua tu lakini si kwa kutafuta kwenye simu. Si unajua wakati mnaanzana ndiyo pa kusomana wakati ule mapenzi matamu kama chungwa, akibadilika baada ya pale utajua tu.
Duh!!...... Siamini kama mapenzi yaliwahi kukutafuna mkuu! Mimi sifa kuu ya mwanamke nitakaeoa lazima awe mwanamke ambae simpendi kwa sababu sipo tayari kufa magonjwa ya pressure, kisukari na kiharusi kisa wivu wa mapenzi!!Daah. Sitaki kukumbuka huo ugonjwa wangu wa zamani sababu nilitaka kubaki mifupa mana nilikuwa na mawazo hasi kila kukicha kumbe nilikuwa najimaliza mwenyewe.
But deep down you know he's not loyal, sio?Mimi ninayapenda maisha yangu, vitu ninavyojua vitanipa stress niko allergic navyo kama simu za watu.
Inategemea kama mmewekeana utaratibu huo fine, na kama mna utaratibu huo unafikiri simu za mazabe zitaingia, thubutu, kutakuwa na line nyingine anayoijua yeye na Mola wake.Mimi siafiki kushika simu na kuanza kuichunguza na kuiwekea routine kwamba lazima uichunguze.
Bali ni kuishika unajiachia nayo kama ya mwandani na wa mwili wako. Yangu inaweza kuwa imeisha salio naweza kutumia ya mama. Kuangalia picha,n.k. mwisho wa siku utaogopa kutembea naye ukiogopa msikutane na michepuko yake
No If he is noto loyal there some other ways to find out not on his phone, mind you if he has never invited me to use his phone how can I invite myself?But deep down you know he's not loyal, sio?
Exactly uncle. Huichunguzi ila unakuwa huru nayoMimi siafiki kushika simu na kuanza kuichunguza na kuiwekea routine kwamba lazima uichunguze.
Bali ni kuishika unajiachia nayo kama ya mwandani na wa mwili wako. Yangu inaweza kuwa imeisha salio naweza kutumia ya mama. Kuangalia picha,n.k. mwisho wa siku utaogopa kutembea naye ukiogopa msikutane na michepuko yake
And she can't accept thatBut deep down you know he's not loyal, sio?
Umeona tatizo watu tunajiendekeza.Kuishika au kutoishika hakutabadilisha kitu.Kama nikuchepuka atachepuka tu manake hiyo ni tabia simu ishikwe au isishikwe.Tuendelee zetu kuzishika mwaya.Hahaa me hiyo siku ntakayokufa kwa presha kisa kushika simu ndo utakuwa mwisho wa kushika simu. Me simu ntaishika tu anytime nikijisikia. Privacy ndo mdudu gani?
She's in denial.And she can't accept that
Teh tuzishike tu mwenzangu. Sio guarantee ya kuwa hachepuki ila sina sababu ya kutoishika piaUmeona tatizo watu tunajiendekeza.Kuishika au kutoishika hakutabadilisha kitu.Kama nikuchepuka atachepuka tu manake hiyo ni tabia simu ishikwe au isishikwe.Tuendelee zetu kuzishika mwaya.
Sio kwa tabasamu hilo! Huyo kwenye picha ndio wewe?Duuuuuh[emoji119][emoji119][emoji119]
He he he he vbur utawajua tu jins walivyoHahaa me hiyo siku ntakayokufa kwa presha kisa kushika simu ndo utakuwa mwisho wa kushika simu. Me simu ntaishika tu anytime nikijisikia. Privacy ndo mdudu gani?
Hehe na hamu kweli na simu yakoHe he he he vbur utawajua tu jins walivyo
Mkuki kwa nguruwe wanaume ubabe tu ila mioyo migumu kweny. Mapemzi hawaweziNdio inavyokua badae unaonekana mbaya
Ndiyo maana matatizo ya ndoa yamezidi. Sasa kama mnawekeana password za simu wanandoa je za bank.Exactly uncle. Huichunguzi ila unakuwa huru nayo
[emoji3][emoji3] sisy acha woga bwana...Inategemea kama mmewekeana utaratibu huo fine, na kama mna utaratibu huo unafikiri simu za mazabe zitaingia, thubutu, kutakuwa na line nyingine anayoijua yeye na Mola wake.
I assume if he sees someone else he will let me know that things are not working between us.[emoji3][emoji3] sisy acha woga bwana...