[emoji122] [emoji122]Unajua ni nini kaka masai shida huwa inaanzia kwenu kwa sababu mara nyingi ndio mnaofanya simu tusizishike kwa sababu hebu chukulia kila siku nikiishika na kutana na vitu ambavyo wewe kama wewe huwezi kunyoosha maneno nikaelewa.
Ndio mana huwa tunajiamulia kutoishika ili kupata amani ya moyo na kama mimi yangu haina mipaka na ya mwenzangu hajanikataza kuishika ila nimejikataza mwenyewe baada ya kujiona siishi kusononeka.
NdiwooooYaani ulivyoanza kunitaja tu haya waambie wachuchu nipo machungani.
Emmyta
Hapo palipokolezwa umemaliza kila kitu. Kwa hiyo unaogopa kukutana na wizi uliowahi kukutana nao. Hivyo unamwachia mwizi mwanya mzuri wa kuendelea kukuibia vizuri.
Uchaguzi wenu wa kudeal na hili tatizo nimeupenda maana mwizi unamjua na wizi wake unaujua na hauna cha kumfanya hivyo bora umwache tu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yaani ulivyoanza kunitaja tu haya waambie wachuchu nipo machungani.
Emmyta
Hapo palipokolezwa umemaliza kila kitu. Kwa hiyo unaogopa kukutana na wizi uliowahi kukutana nao. Hivyo unamwachia mwizi mwanya mzuri wa kuendelea kukuibia vizuri.
Uchaguzi wenu wa kudeal na hili tatizo nimeupenda maana mwizi unamjua na wizi wake unaujua na hauna cha kumfanya hivyo bora umwache tu.
Ney nakudai... maana leo nakuchekesha tu. ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mamy wewe kama mmeo anakufanyia hivi rudi kwetu bado chumba chako kipo...Ndiwoooo
Kwakweli yaan nimejikuta nacheka kwa sauti kama mjingaNey nakudai... maana leo nakuchekesha tu. ..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mamy wewe kama mmeo anakufanyia hivi rudi kwetu bado chumba chako kipo...
Suala la simu ni mtambuka inategemea na ndoa maisha mliyojiwekea na mazingira. Kila la kheri msalimie bwasheeKwakweli yaan nimejikuta nacheka kwa sauti kama mjinga
Yaani ulivyoanza kunitaja tu haya waambie wachuchu nipo machungani.
Emmyta
Hapo palipokolezwa umemaliza kila kitu. Kwa hiyo unaogopa kukutana na wizi uliowahi kukutana nao. Hivyo unamwachia mwizi mwanya mzuri wa kuendelea kukuibia vizuri.
Uchaguzi wenu wa kudeal na hili tatizo nimeupenda maana mwizi unamjua na wizi wake unaujua na hauna cha kumfanya hivyo bora umwache tu.
kwa kweli naomba na naomba nisivae uhusika wa jinsia yenu. Labda nimwite Heaven Sent ahitimishe tu.Katika hali ya kawaida kaka masai hebu vaa uhusika sasa wewe ndio mimi na huyo mwizi unayemsema umeshamjua wizi wake mbali ya kuacha kuishika simu, ungefanya njia gani ya tofauti?
Sema tu tupate faida. [emoji124]
Hapana aiseeh hivyo vitu vinipitie kushoto sitaki wala siweziMh we una matatizo! Kama unampenda sana ni lazima ukague cm yake ili ujue msimamo wake kwako.we ni big boss unaogopa nn kukagua cm yake? Tena na kila mamba anatakiwa akueleze mwenyewe ni ya nani na anawasliana nae kwaajili ya nini! Lazima utawale uwanja mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Katika hali ya kawaida kaka masai hebu vaa uhusika sasa wewe ndio mimi na huyo mwizi unayemsema umeshamjua wizi wake mbali ya kuacha kuishika simu, ungefanya njia gani ya tofauti?
Sema tu tupate faida. [emoji124]
kwa kweli naomba na naomba nisivae uhusika wa jinsia yenu. Labda nimwite Heaven Sent ahitimishe tu.
Nampenda sana ndio mana sitaki kushika simu yakeMh we una matatizo! Kama unampenda sana ni lazima ukague cm yake ili ujue msimamo wake kwako.we ni big boss unaogopa nn kukagua cm yake? Tena na kila mamba anatakiwa akueleze mwenyewe ni ya nani na anawasliana nae kwaajili ya nini! Lazima utawale uwanja mkuu
Hongera sana. Umri unasonga na akili inakomaa. Relax, presha za nini wakati hakuna unachoweza kuzuia? Good movebasi tulikuwa wote ndugu mwanzoni nilikua napata shida sana jaman yaan nikiona simu yake hapo naitamani halaf mwisho ninayokutana nayo navimba nalia aisee ila sasa hivi aache simu yake hapo atakutana na missed calls zake na text