Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Mpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga Kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola Mnene.
Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikawaje ukakataa kutembea SingidaMpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola mnene.
Nampongeza kocha kwa uamuzi wa busara.
Hakika maana ni jambo jema kusaidia kama yule shujaa majaliwa.Asisite kuomba ushauri tena
Leo alitumia muda mwingi kusaidia kule Tunis.Ikawaje ukakataa kutembea Singida
Mgunda mtu safi sana hana chuki wala wivu, amempa mbinu Nabi.Huo ndio ukweli.. maana Wala mihogo wametembeza boli sana leo
Kila kona nyuzi ni zao tu. Yaani wapo kama machiz hivi. Mo anayagonganisha vichwa matikiti yake hayaMko kama mazuZu yaani.
Mgunda alijikita kuokoa jahazi Tunisia.
Acha makasiriko.Kila kona nyuzi ni zao tu. Yaani wapo kama machiz hivi. Mo anayagonganisha vichwa matikiti yake haya
Kweli kabisaNi jambo jema.
Kizuri kula na nduguyo...
Basi humfahamu gadiola mnene wewe.kwanza wameongea lugha gani maana gadiola mnene anajua kiswahili na kidigo