Simu yako ya gharama ulinunua bei gani? Je unaenjoy nini kwa hiyo simu yako? Je imekutosheleza mahitaji yako?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Inakuwaje wakuu

Naanza na mimi simu yangu ya gharama ambayo ndio hii nayotumia nilinunua 255k mwaka 2021
Nachoinjoy inakaa sana na chaji, imeniwezesha kuingia mtandaoni na kuchota madini mengi sana,

Je imeniridhisha
Mimi ni mpenzi wa photography naweza sema kwenye upande huu haikuniridhisha, nafikiria hata nitakapo upgrade hii simu nipate simu nitakayotoa picha za hatari
Pia upande wa performance haipo good sana nafikiria nitakapo upgrade nichukue simu itayokua na more good performance

Je wewe simu yako ya gharama ulinunua kiasi gani? uliinjoy nini kwenye hio simu yako? Je ilikuridhisha?

Nb
Lengo ni positivity wakuu ili mtu hata akipitia uzi anaweza ona simu ipi kwake itakuwa nzuri kwa bajeti yake
 
Mimi simu yangu nilinunua elfu sabini kwa jamaa mmoja anauzaga vitu vya wizi hapa mtaani (japo nasikia bei ya hii simu dukani ni laki 5 na nusu) ila inanifaa sana kuingia JF lakini pia ina camera nzuri huwa natumia kupiga picha za product zangu(majeneza) na kupost kwenye magroup na mitandaoni kusaka wateja.
 
Mimi simu yangu ya gharama ilikuwa philips savy 26k mwaka 2005.
Nasema ilikuwa gharama kutokana na hali ngumu niliyokuwa nayo miaka hiyo, na nadhani si watu wengi walimiliki simu hiyo miaka enzi za vibanda vya simu mitaani.
 
Uzuri JF wote ni ma don. Mimi simu ya gharama kabisa ni 3m in JF currency.

Mkuu na hawa wakina nani?

Mimi bado sijapata. Vipaumbele vyangu

1. Betri

2. 4G&5G

3.Ram
 
Mimi simu yangu nilinunua elfu sabini kwa jamaa mmoja anauzaga vitu vya wizi hapa mtaani (japo nasikia bei ya hii simu dukani ni laki 5 na nusu) ila inanifaa sana kuingia JF lakini pia ina camera nzuri huwa natumia kupiga picha za product zangu(majeneza) na kupost kwenye magroup na mitandaoni kusaka wateja.
Ni kwahiyo ni mali ya wizi?
 
250k aisee simu imedumu miaka mitano...siku ilizima puh nililia sana
 
Inakuwaje wakuu

Naanza na mimi simu yangu ya gharama ambayo ndio hii nayotumia nilinunua 255k mwaka 2021
Nachoinjoy inakaa sana na chaji, imeniwezesha kuingia mtandaoni na kuchota madini mengi sana,

Je imeniridhisha
Mimi ni mpenzi wa photography naweza sema kwenye upande huu haikuniridhisha, nafikiria hata nitakapo upgrade hii simu nipate simu nitakayotoa picha za hatari
Pia upande wa performance haipo good sana nafikiria nitakapo upgrade nichukue simu itayokua na more good performance

Je wewe simu yako ya gharama ulinunua kiasi gani? uliinjoy nini kwenye hio simu yako? Je ilikuridhisha?

Nb
Lengo ni positivity wakuu ili mtu hata akipitia uzi anaweza ona simu ipi kwake itakuwa nzuri kwa bajeti yake
4m, and naipiga mzigo kama inavyotakiwa
 
Back
Top Bottom