Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Inakuwaje wakuu
Naanza na mimi simu yangu ya gharama ambayo ndio hii nayotumia nilinunua 255k mwaka 2021
Nachoinjoy inakaa sana na chaji, imeniwezesha kuingia mtandaoni na kuchota madini mengi sana,
Je imeniridhisha
Mimi ni mpenzi wa photography naweza sema kwenye upande huu haikuniridhisha, nafikiria hata nitakapo upgrade hii simu nipate simu nitakayotoa picha za hatari
Pia upande wa performance haipo good sana nafikiria nitakapo upgrade nichukue simu itayokua na more good performance
Je wewe simu yako ya gharama ulinunua kiasi gani? uliinjoy nini kwenye hio simu yako? Je ilikuridhisha?
Nb
Lengo ni positivity wakuu ili mtu hata akipitia uzi anaweza ona simu ipi kwake itakuwa nzuri kwa bajeti yake