Elon J
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 635
- 1,907
Aisee, simu yangu inaingiza ma apps ya aina mbalimbali kama vile ma games n.k bila ridhaa yangu (bila kudownload). Mfano Kuna Aapp inaitwa Ayoba kila nikiifuta nikiweka MB tu inarudi tena. Kuna muda nikiweka MB zinaisha faster kwasababu ya kujidownload kwa hizi apps.
Wazee wa IT shida ni nini hapa?
Wazee wa IT shida ni nini hapa?