Ukiachana na hizo apps zinazikuja na simu,,Sasa Kuna apps zinaingia kila nikiweka MB mfano ma games ya ajabu ajabu yaan mpka kero na zinasomba MB hatari😥Kuna app zinazokuja na simu Mzee baba hasa hizi cm zinazotengenezwa magetoni hapo uchina,tuvumilie tu.
Unatumia simu aina gani mkuuAise simu yangu inaingiza ma apps ya aina mbalimbali kama vile ma games n.k bila ridhaa yangu(bila kudownload) mfano Kuna apps inaitwa Ayoba kila nikiifuta nikiweka MB tu inaludi tena.
Kuna mda nikiweka MB zinaisha faster kwasababu ya kujidownload Kwa hizi apps
Wazee wa IT shida ni nn hapa!
Watu uwa wanalalamika data zinaenda tu wakati hajutumia kiasi kinachoondoka,kuna app zinaji update kila muda bila wewe kujua,save vitu vya msingi kwenye gmail yake then formatOkay👍
Okay👍
Na kuna mi app ya game inaji auto download.. zi blockOkay
Chek menu yako..Hapo ndo cjajua mkuu,unaangaliaje
Simu za wajasiriamali mkuu( Infinix)
Mkuu Basi nishajua Kuna app inaitwa palm store ata kipindi pale baada ya kudownload huwa inaandika palm store installed open kwa hiyo wewe husika na hiyo appHapo ndo cjajua mkuu,unaangaliaje
Simu za wajasiriamali mkuu( Infinix)