Mkuu Basi nishajua Kuna app inaitwa palm store ata kipindi pale baada ya kudownload huwa inaandika palm store installed open kwa hiyo wewe husika na hiyo app
Tutumieni simu kutoka brands zinazojielewa wakuu. Nilishika infinix ya mtu nikakuta notifications mia kidogo, apps kibao hazieleweki hata zina kazi gani na bado hazifutiki. Ni mateso aiseee!