G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Wapendwa habari zenu
Napenda ku-share nanyi hiki kitu kinatokea kwenye simu yangu anytime.
Simu yangu kila wakati inaleta neno juu ya screen " SENDING SMS" kisha inatoweka, simu inaweza kua muted nikiendelea na mambo mengine, ghafla naona mwanga na inatokea hiyo inaandika sending sms kisha inatoweka, na hakuna labda sms ambayo nilikua nikituma kwamba labda inasubiri network imekata na sasa imerejea ndo sms inakwenda hapana,sikua kwenye kutuma sms kwa mtu wala nini
Sasa najiuliza hiki kitu ni nini na kinatokana na nini? labda wajuzi wengine mnisaidie