Simu yangu kila wakati inaleta neno juu ya screen " SENDING SMS" kisha inatoweka, hiki kitu ni nini na kinatokana na nini?

Simu yangu kila wakati inaleta neno juu ya screen " SENDING SMS" kisha inatoweka, hiki kitu ni nini na kinatokana na nini?

Sijui unahisi niliyeandika hapa ni fala!!! Hatujagi jf kutafuta utatuzi bila kujarobu,kiufupi naijua simu kuliko udhaniavyo,ila kwa sababu ujuzi unatofautiana ndiyo maana nimekuja hapa,sasa ukiniambia nitumie akiki kweni hapa kaandika kichaa?
Imebidi nicheke tu 😅😅🤣
 
Vp mkuu umefanikiwa kuutoa huu ujumbe. Maana naona namm hii shida ipo . Inatuma hiyo notification ya "Sending sms" ukijaribu kutap kwenye huo ujumbe kama mara mbili inaandika SIM Toolkit isn't optimized......
Simu ni Samsung
 
Screenshot_20240914_075715_One UI Home.jpg
 
Kwani wenzangu ninyi SIM-Toolkit ya voda kwenu ipoje maana naona yangu ni ya tofauti na ukiifungua ndani haifanyi kazi. Nadhani hii ndio inapelekea kuleta hii notification
 
Wapendwa habari zenu
Napenda ku-share nanyi hiki kitu kinatokea kwenye simu yangu anytime.

Simu yangu kila wakati inaleta neno juu ya screen " SENDING SMS" kisha inatoweka, simu inaweza kua muted nikiendelea na mambo mengine, ghafla naona mwanga na inatokea hiyo inaandika sending sms kisha inatoweka, na hakuna labda sms ambayo nilikua nikituma kwamba labda inasubiri network imekata na sasa imerejea ndo sms inakwenda hapana,sikua kwenye kutuma sms kwa mtu wala nini

Sasa najiuliza hiki kitu ni nini na kinatokana na nini? labda wajuzi wengine mnisaidie
Unadukuliwa mkuu
Piga *#21# kuzuia hiyo
 
Simu za laki mkuu usitegemee maajabu, mm yangu huwa inaamua tu inafanya jambo hadi unashangaa na ni simu nlinunua laki4, yaan acha tu, simu nazo zinategemeana na brand
 
Yangu nikichaji inaleta ujumbe
Charging stopped. Temperature too low.
 
Back
Top Bottom