Nenda kwa fundi ambaye ame specialize kwenye software au nenda kwa service provider centre mtandao unaotumia. Kwa msaada zaidi ingia Google au YouTube. Punguza kutafuniwa. Umiza na wewe akiliInasema Not Forwarded
Kwangu nimejaribu imekuja hivi*#21#
Kwangu nimejaribu imekuja hivi
👇
Sync : +255627........
Hapa ina maana gani mkuu?
Hata mimi hiyo hali iko kwangu natumia SamsungWapendwa habari zenu
Napenda ku-share nanyi hiki kitu kinatokea kwenye simu yangu anytime.
Simu yangu kila wakati inaleta neno juu ya screen " SENDING SMS" kisha inatoweka, simu inaweza kua muted nikiendelea na mambo mengine, ghafla naona mwanga na inatokea hiyo inaandika sending sms kisha inatoweka, na hakuna labda sms ambayo nilikua nikituma kwamba labda inasubiri network imekata na sasa imerejea ndo sms inakwenda hapana,sikua kwenye kutuma sms kwa mtu wala nini
Sasa najiuliza hiki kitu ni nini na kinatokana na nini? labda wajuzi wengine mnisaidie
Mimi imeniandikia hiviKwangu nimejaribu imekuja hivi
[emoji116]
Sync : +255627........
Hapa ina maana gani mkuu?
Kuna hii piaImedukuliwa na Ina sync na hiyo namba
Duh, inamaana huyo mtu aliwahi kushika simu yangu?Imedukuliwa na Ina sync na hiyo namba
Sio lazima ...Duh, inamaana huyo mtu aliwahi kushika simu yangu?
UongoTecno na infinix zina tabia hio
Kama ni hivyo, basi nimesha mjua huyu kenge. Nitamalizana nae leo jioni.Sio lazima ...
Huyo mtu anasoftware za kudukua ..
Ameona aina ya simu yako, number yako kisha anakuwa anafuatilia SMS, calls zako na kusikiliza unachoongea..
Yaani kifupi anakufuatilia nyendo zako
Mkuu, ni njia gani naweza tumia kujitoa kwenye huu mtego?Sio lazima ...
Huyo mtu anasoftware za kudukua ..
Ameona aina ya simu yako, number yako kisha anakuwa anafuatilia SMS, calls zako na kusikiliza unachoongea..
Yaani kifupi anakufuatilia nyendo zako