Simu yangu kila wakati inaleta neno juu ya screen " SENDING SMS" kisha inatoweka, hiki kitu ni nini na kinatokana na nini?

Niliwahi kuwa na simu ilikuwa inajipiga yenyewe na namba kwenye screen zilikuwa hazionekan.
Nilikuja igundua nilipokuwa naweka earphone .
Ilikuwa simu ya batan. Hakika ilikuwa ni jambo la ajabu sana maana namba ilizokuwa inazipigia zlikuwa znapokelewa na salio linaisha .
Kwa upande wa mitandao ya simu hawakuweza pata taarifa.
Ila ilikuja acha hizo tabia za iishetani yenyewe tu
 
Sio lazima ...
Huyo mtu anasoftware za kudukua ..
Ameona aina ya simu yako, number yako kisha anakuwa anafuatilia SMS, calls zako na kusikiliza unachoongea..

Yaani kifupi anakufuatilia nyendo zako
Na kama haijaleta namba yoyote je?kama kwangu haileti namba yoyote lakini kila mala inaandika sending sms
 
Nunua mpya
 
Na kama haijaleta namba yoyote je?kama kwangu haileti namba yoyote lakini kila mala inaandika sending sms
Vitu vingine inatakiwa utumie akili kiasi.

Angalia salio lako la SMS kwa sasa una balance ya SMS ngapi? kisha fanya monitoring uone je SMS zinapungua? Ukiona zinapungua ile balance basi ujue kuna kitu.

Ukiona bado ipi vile vile fanya kuzima na kuwasha simu yako, tatz likiendelea potezea.
 
Sijui unahisi niliyeandika hapa ni fala!!! Hatujagi jf kutafuta utatuzi bila kujarobu,kiufupi naijua simu kuliko udhaniavyo,ila kwa sababu ujuzi unatofautiana ndiyo maana nimekuja hapa,sasa ukiniambia nitumie akiki kweni hapa kaandika kichaa?
 
Kwa case Yako inawezekana kuna MMS inajituma, oitia msg zako ukiikuta cancel na huta Ina tena huo ujumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…