Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Imebidi nicheke tu π π π€£Sijui unahisi niliyeandika hapa ni fala!!! Hatujagi jf kutafuta utatuzi bila kujarobu,kiufupi naijua simu kuliko udhaniavyo,ila kwa sababu ujuzi unatofautiana ndiyo maana nimekuja hapa,sasa ukiniambia nitumie akiki kweni hapa kaandika kichaa?
Unadukuliwa mkuuWapendwa habari zenu
Napenda ku-share nanyi hiki kitu kinatokea kwenye simu yangu anytime.
Simu yangu kila wakati inaleta neno juu ya screen " SENDING SMS" kisha inatoweka, simu inaweza kua muted nikiendelea na mambo mengine, ghafla naona mwanga na inatokea hiyo inaandika sending sms kisha inatoweka, na hakuna labda sms ambayo nilikua nikituma kwamba labda inasubiri network imekata na sasa imerejea ndo sms inakwenda hapana,sikua kwenye kutuma sms kwa mtu wala nini
Sasa najiuliza hiki kitu ni nini na kinatokana na nini? labda wajuzi wengine mnisaidie
Simu za laki mkuu usitegemee maajabu, mm yangu huwa inaamua tu inafanya jambo hadi unashangaa na ni simu nlinunua laki4, yaan acha tu, simu nazo zinategemeana na brandWapendwa habari zenu