Simu za Blackberry za zamani zimerudi tena mwaka 2025. Je, Utanunua?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
​

๐Š๐š๐ฆ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐œ๐ก๐ข๐ง๐š ๐™๐ข๐ง๐ฐ๐š ๐“๐ž๐œ๐ก๐ง๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ข๐ž๐ฌ ๐ข๐ฆ๐ž๐š๐ง๐ณ๐š ๐ฆ๐š๐š๐ง๐๐š๐ฅ๐ข๐ณ๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ข๐ซ๐ฎ๐๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฌ๐จ๐ค๐จ๐ง๐ข ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐›๐ฅ๐š๐œ๐ค ๐›๐ž๐ซ๐ซ๐ฒ ๐œ๐ฅ๐š๐ฌ๐ฌ๐ข๐œ kwa jina jingine inaitwa Q20 ikiwa na mabadiliko kadhaa kwa ndani yenye kuvutia zaidi kwa kuwa tuko mwaka 2025.

Simu hii itakua na Muonekano mpya wa upande wa hardware hawajafanya Mabadiliko mengi lakini simu hii inakuja ikiwa na kioo ukubwa 720 ร— 720 ikiwa na skrini ya kupangusa (touchskrini) , physical keyboard โŒจ๏ธ, ikiwa na taa ains ya LED kwenye Masuala ya notification Pamoja na kava lake.

​

Mradi huu unalenga kuweza kuchanganya Teknolojia ya kisasa na Toleo la Zamani la Simu ya black berry kwa ndani kuna feature kadhaa;

โšก Imekuja ikiwa na Processor ya MediaTek Helio G99 Chipset
๐Ÿ—ƒ๏ธ Ram ni 12GB LPDDR4x + 256 storage ya UFS 2.0 x storage.
๐Ÿ”‹ Betri lake 3000mah

​

๐Ÿ“ธ Kamera ya nyuma ๐Ÿ™ƒ 50mp rear sensor
๐Ÿ“ท Kamera ya mbele 8MP front Kamera
๐Ÿ—‚๏ธ Itakua na sehemu ya kuwek MicroSd Card
๐ŸŽง Inatumia headphones 3 jack.
๐Ÿ’ฐ Gharama yake ni dola $400 au $300.

​

Kumbuka:
๐Ÿ’จ Simu hii inakuja ikiwa na android version 13 lakini haijulikani kama utapata fursa ya kufanya upgrade kwenda android version 14, itaweza kutumia Usb Type C.

​

๐Ÿ’ก Zinapatikana kwa gharama ya laki tisa mpaka milioni moja na elfu saba. Je Utanunua??

#bongotech255 #blackberry
 
Mbaya , hiyo keyboard ndio inayo wanyima soko
Sidhani, keyboard ya bb, ipo kipekee sana, na ndiyo maana wanaingangania miaka yote, hiyo ndiyo uniqueness ya bb, ukiitoa hiyo itabaki kuwa just an ordinary android phone, lakini hapo nyuma kidogo walitoa BlackBerry passport na haikuwa na na hizo physical keyboard na haikufanya vizuri sokoni, angalau Q10 niliielewa kiasi.
 
Sure, hakutakuwa tofauti na kumiliki android ya Kachina yenye processor ya mtk kama simu nyingine za Kachina..
Uniqueness ya blackberry ingekuwa na improved os yake ile ile kama mwanzo
Sahihi kabisa. Hata soko lao lilikufa baada ya kuhamia android, sasa sijui kwanini wanarudia makosa.
 
Mpaka leo natumia BB Bold 9700 na HTC HD2.
Hizi ndio simu zangu pendwa ambazo nazitumia mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ