Simu za Blackberry za zamani zimerudi tena mwaka 2025. Je, Utanunua?

𝐊𝐚𝐦𝐩𝐮𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐜𝐡𝐢𝐧𝐚 𝐙𝐢𝐧𝐰𝐚 𝐓𝐞𝐜𝐡𝐧𝐨𝐥𝐨𝐠𝐢𝐞𝐬 𝐢𝐦𝐞𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐝𝐚𝐥𝐢𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐫𝐮𝐝𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐬𝐨𝐤𝐨𝐧𝐢 𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐛𝐥𝐚𝐜𝐤 𝐛𝐞𝐫𝐫𝐲 𝐜𝐥𝐚𝐬𝐬𝐢𝐜 kwa jina jingine inaitwa Q20 ikiwa na mabadiliko kadhaa kwa ndani yenye kuvutia zaidi kwa kuwa tuko mwaka 2025.

Simu hii itakua na Muonekano mpya wa upande wa hardware hawajafanya Mabadiliko mengi lakini simu hii inakuja ikiwa na kioo ukubwa 720 × 720 ikiwa na skrini ya kupangusa (touchskrini) , physical keyboard ⌨️, ikiwa na taa ains ya LED kwenye Masuala ya notification Pamoja na kava lake.

Mradi huu unalenga kuweza kuchanganya Teknolojia ya kisasa na Toleo la Zamani la Simu ya black berry kwa ndani kuna feature kadhaa;

⚡ Imekuja ikiwa na Processor ya MediaTek Helio G99 Chipset
🗃️ Ram ni 12GB LPDDR4x + 256 storage ya UFS 2.0 x storage.
🔋 Betri lake 3000mah

📸 Kamera ya nyuma 🙃 50mp rear sensor
📷 Kamera ya mbele 8MP front Kamera
🗂️ Itakua na sehemu ya kuwek MicroSd Card
🎧 Inatumia headphones 3 jack.
💰 Gharama yake ni dola $400 au $300.

Kumbuka:
💨 Simu hii inakuja ikiwa na android version 13 lakini haijulikani kama utapata fursa ya kufanya upgrade kwenda android version 14, itaweza kutumia Usb Type C.

💡 Zinapatikana kwa gharama ya laki tisa mpaka milioni moja na elfu saba. Je Utanunua??

#bongotech255 #blackberry
Swali he bado watatumia blackberry instalador kwaajili ya software upgrade ama scatter files kwavile wanatumia mtk CPU
 
Wameondoa OS ya blackberry ambayo ilikuwa iksifika kwa usalama, na ilikuwa moja ya selling point yao
 
Umenikumbusha nilimiliki Blackberry Curve enzi hizo, nlikua nakapenda kweli!
 
Buton tena wazee usawa huu
Kwa sie wenye ulemavu wetu binafsi hiyo ndo safi. Mfn. Huwa natokwa jasho kwenye viganja kuna muda hadi nashindwa kuandika kwa ufanisi, hivyo mchanganyiko wa keypad na touch screen ndo unanifaa.
 
Pole mkuu
 
Back
Top Bottom