Simu za Blackberry za zamani zimerudi tena mwaka 2025. Je, Utanunua?

Swali he bado watatumia blackberry instalador kwaajili ya software upgrade ama scatter files kwavile wanatumia mtk CPU
 
Wameondoa OS ya blackberry ambayo ilikuwa iksifika kwa usalama, na ilikuwa moja ya selling point yao
 
Umenikumbusha nilimiliki Blackberry Curve enzi hizo, nlikua nakapenda kweli!
 
Buton tena wazee usawa huu
Kwa sie wenye ulemavu wetu binafsi hiyo ndo safi. Mfn. Huwa natokwa jasho kwenye viganja kuna muda hadi nashindwa kuandika kwa ufanisi, hivyo mchanganyiko wa keypad na touch screen ndo unanifaa.
 
Kwa sie wenye ulemavu wetu binafsi hiyo ndo safi. Mfn. Huwa natokwa jasho kwenye viganja kuna muda hadi nashindwa kuandika kwa ufanisi, hivyo mchanganyiko wa keypad na touch screen ndo unanifaa.
Pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…