Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Sio 4a tu hata 3aGoogle pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a
Kuuza ni ngumu
Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma, wanasema google pixel 4a ikishakufa betri habari imekwisha
Ukibadilisha ugonjwa wa kuuwa betri ukitumia betri mwezi inakufa tena
Ukifanya update tu, google pixel 4a inakuwa imekufa kabisa betri
Google pixel 4a ni simu naikubali ila Kwa Sasa nahamia Samsung