Simu za Google Pixel zina shida gani?

G.Pixel zile ni camera [emoji23] alaf tuepuke kununua hizi used Dubai nyingi zinakua ni used bongo na ukininua used make sure unapewa warranty card walau miez sita na fanya juu chini muuzaji wako awe anapokea matatizo ya software na hardware
 
Wameenda China Plaza pale wanauza refurbished products au yeye alikwambia kanunua kwenye maganda yake?
mkuu kwa nijuavyo mimi,hata wao huwezi pata pixel brand new hapa tz,labda uagize nje,kwa hiyo waliponunua walijua kabisa,sio boxed,lakini ndio ikae miezi 4tu?isumbue?hata kama ni re furbished mkuu.
 
Amauziwa simu mbovu
 
Itilafu hutokea kwenye devices zote sema umezifuatila za upande mmoja, Anyways waungwana watakuambia kwamba hizo simu ukitoa ubora wa camera unabaki na Pop 2 new model.
Tecno pop 2 Simu yangu ya kwanza kununua dukani 😂 hii simu kali sana kasoro camera tuu ila betri ni fireeeeeeeee
 
mkuu kwa nijuavyo mimi,hata wao huwezi pata pixel brand new hapa tz,labda uagize nje,kwa hiyo waliponunua walijua kabisa,sio boxed,lakini ndio ikae miezi 4tu?isumbue?hata kama ni re furbished mkuu.
Miezi 4 imedumu sana mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…