Simu za Google Pixel zina shida gani?

Simu za Google Pixel zina shida gani?

Natumia Pixel 4 sahz mwaka umepita ni simu nzuri sana Camera ipo vzur na vitu vingine ipo fresh.Shida nilinunua hii simu sikucheki Battery lake.

Battery lake ni 2800mAh ambalo haliitaji matumizi mengi ukiwa ume washa Data na Unatumia Camera sana huwa inapunguza uwezo wa Battery lake na kuwahi kuisha ndo shida niliyo kumbana nayo.

Cha muhim kabla ya kwenda kununua jaribu kucheki uwezo wake wa Battery na nyingi zenye Battery nzuri kuanzia Pixel 4xl,5 Ukipata kuanzia Six huko uta enjoy zaidi.

Swala la kununua halafu umetumia mwezi imezima io ni kwa sababu ya kuwa io simu imesha tumika nchi za wezetu huko na ikapata shida huko ikaletwa huku Tanzania kuuzwa na sio Pixel tu peke ake hapo zipo simu za aina nyingi jamii ya Samsung unakuta zina Dot pia Iphone, Vivo, Oppo, Sony, Huawei.
 
Ukishajua maana ya neno refunished hutateseka boss kuniuliza kwanini Ziko hivyo
 
Back
Top Bottom