James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,761
Nimeshatumua huawei p10 ambayo ilikuwa designed kutumika china. Acha kabisa mkuu... Watu hawazielewi hizi simu ila ni balaa...
Ukikuta huawei mchina anayotumia mwenyewe hata samsung haioni ndani