Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Huawei hajagundua 5G.Hawawezi kukuelewa wabongo huwawei anauza sana simu kuanzia canada,England na sasa USA kishaanza kushika soko why anauza sana kuna kitu ambacho wengi hawajakijua kuhusu huawei hawa ni wataalam katika sekta ya internet simu zao zina speed sana ya internet,Zaidi ya yote taarifa za kiinterejensia ni kwamba huawei kishagundua 5G technology ambayo ina speed pengine kushinda akili za binadamu hii imeleta shida kwa Marekani maana hayuko tayari technolojia hii itoke kwa sasa.Sisi tunaletewa cheap phone tofauti kabisa na zunazoenda ulaya.
5G ni partership project ya wadau wakubwa kwenye teknolojia ya mawasiliano.
Nokia, Siemens, ZTE, Huawei n.k