Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Hawawezi kukuelewa wabongo huwawei anauza sana simu kuanzia canada,England na sasa USA kishaanza kushika soko why anauza sana kuna kitu ambacho wengi hawajakijua kuhusu huawei hawa ni wataalam katika sekta ya internet simu zao zina speed sana ya internet,Zaidi ya yote taarifa za kiinterejensia ni kwamba huawei kishagundua 5G technology ambayo ina speed pengine kushinda akili za binadamu hii imeleta shida kwa Marekani maana hayuko tayari technolojia hii itoke kwa sasa.Sisi tunaletewa cheap phone tofauti kabisa na zunazoenda ulaya.
Huawei hajagundua 5G.
5G ni partership project ya wadau wakubwa kwenye teknolojia ya mawasiliano.
Nokia, Siemens, ZTE, Huawei n.k
 
Haha
Mzuqa!

Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.

Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei

Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.

Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.

Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.

China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
Mkuu inaonekana leo kuna demu kakuzngua kua unatumia cm za low quality ss unakuja kupima huk jukwaan kuudhibitisha kua Huwaei inatumiwa sanaa au lah!
 
Huawei hajagundua 5G.
5G ni partership project ya wadau wakubwa kwenye teknolojia ya mawasiliano.
Nokia, Siemens, ZTE, Huawei n.k
Hata sumsung akiungana na iphone lazima kati ya makampuni hayo kuna mtu ambaye anaongoza maono ya muunganiko huo ndicho kilichopo kwa huawei nawaheshimu sana ZTE sababu wamewekeza kweli kwenye technolojia ila anayesimamia familia ni HUAWEI akisaidiwa na utawala wa china kuhakikisha anakuwa Top siku sijazo.
 
Uzuri nimewahi kutumia simu brand tofauti tofauti nimetumia Huawei P6, P7 na Y6II, tecno nilitumia hizi phantom na camon cx, iPhone 4s, 5s na 6 plain, Samsung s5 na mwaka huu nikajichanganya kununua infinix hot 7 ila all in all iPhone itabakia kua simu bora zaidi kuwahi kuitumia maishani kuanzia kwenye quality ya camera, speed ya simu, security ya simu, portability etc. Nachojua kila mtu ana mahaba yake binafsi, wapo ambao huwaambii kitu kuhusu Samsung like mke wangu ni yule die hard wa Samsung phones, so kila mtu ana mapendekezo yake kulingana na uhitaji wake
 
TECNO CAMON 11 PRO ina RAM 6GB

Weka yako tuone

LaunchAnnounced2018, September
StatusAvailable. Released 2018, September

BodyDimensions157.5 x 77.4 x 7.7 mm (6.20 x 3.05 x 0.30 in)
Weight208 g (7.34 oz)
BuildFront/back glass, stainless steel frame
SIMSingle SIM (Nano-SIM) or Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by) - for China
IP68 dust/water resistant (up to 2m for 30 mins)
Apple Pay (Visa, MasterCard, AMEX certified)

DisplayTypeOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Size6.5 inches, 102.9 cm2 (~84.4% screen-to-body ratio)
Resolution1242 x 2688 pixels, 19.5:9 ratio (~458 ppi density)
ProtectionScratch-resistant glass, oleophobic coating
Dolby Vision
HDR10
Wide color gamut
3D Touch
True-tone
120 Hz touch-sensing

PlatformOSiOS 12, upgradable to iOS 12.2
ChipsetApple A12 Bionic (7 nm)
CPUHexa-core (2x2.5 GHz Vortex + 4x1.6 GHz Tempest)
GPUApple GPU (4-core graphics)

MemoryCard slotNo
Internal64/256/512 GB, 4 GB RAM

Main CameraDual12 MP, f/1.8, 26mm (wide), 1/2.55", 1.4µm, OIS, PDAF
12 MP, f/2.4, 52mm (telephoto), 1/3.4", 1.0µm, OIS, PDAF, 2x optical zoom
FeaturesQuad-LED dual-tone flash, HDR (photo/panorama)
Video2160p@24/30/60fps, 1080p@30/60/120/240fps, HDR, stereo sound rec.

Selfie cameraSingle7 MP, f/2.2, 32mm (standard)
FeaturesHDR
Video1080p@60fps

SoundLoudspeaker Yes, with stereo speakers
3.5mm jack No
Active noise cancellation with dedicated mic

CommsWLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, hotspot
Bluetooth5.0, A2DP, LE
GPSYes, with A-GPS, GLONASS, GALILEO, QZSS
NFCYes
RadioNo
USB2.0, proprietary reversible connector

FeaturesSensorsFace ID, accelerometer, gyro, proximity, compass, barometer
Siri natural language commands and dictation

Battery Non-removable Li-Ion 3174 mAh battery
ChargingFast battery charging 15W: 50% in 30 min
USB Power Delivery 2.0
Qi wireless charging
Talk timeUp to 25 h (3G)
Music playUp to 65 h

MiscColorsSpace Gray, Silver, Gold
PriceAbout 1250 EUR

MIMI NIMESAINI MKATABA NA SAMSUNG AND APPLE ONLY.... TECNO SITAKI KUWASIKIA
 
Personally Samsung ni brand moja nimetokea kuidharau sana,nilikuwaga na simu brand hii nikaitumia almost 7 month baada ya Mungu mimi huwa naamshwa na alarm ya simu sasa siku hiyo asubuhi imeniamsha vizuri nikaamka nikaiweka simu mahali salama baadae kuja kuichukua nataka nifanye mambo yangu ikawa haiwaki.

Kufupisha story ilibidi niiuze kama kopo na niliyemuuizia mpaka sasa namdai 30K na mategemeo kwamba atanilipa wala sina.kinachoifanya hii kampuni inatamba duniani hata hapa kwetu hasa pale Kariakoo ni wanajua kucheza na media,mapicha picha yale kwenye mabango pale Agrey/Uhuru Str wanunua simu kwa promo wanajikuta wanatandikwa tu.

Na wanatandikwa kweli kweli haya ma-refurbished phones hasa ya Samsung,ukijichanganya kwa wale mangii na wajue hujui ipi imechakachuliwa ipi haijachakachuliwa basi jua hutotoka salama.
UMEIDHARAU KWA KUWA ULIPIGWA KIZEMBE
 
Ukikuta huawei mchina anayotumia mwenyewe hata samsung haioni ndani
Mzuqa!

Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.

Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei

Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.

Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.

Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.

China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
 
Mume wa dada yako aliekupeleka ulaya kakununulia Huawei una furaha mpaka umeanzisha uzi

Na huo utafîti wako uchwara ulioufanya hapo kwenye sofa la shemejì yako
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Matusi hayo duuh
 
UMEIDHARAU KWA KUWA ULIPIGWA KIZEMBE
Sikupigwa niliinunua kwa authorized dealer sikuinunua duka la hovyo mitaani hawa wenye maneno mengi na ilikuwa na warranty ya 2 yrs ila niliwapelekea Samsung njoo kesho njoo kesho zikawa nyingi nikaachana nao.

Tatizo lenu Samsung users hampendi kuelezwa mabaya ya hii brand ila hakuna duniani simu mbovu baada ya Tecno kama za Samsung,mnazolewa zolewa hovyo kwa matangazo na mipicha picha kwenye mabango tu hakuna kingine.
 
Sikupigwa niliinunua kwa authorized dealer sikuinunua duka la hovyo mitaani hawa wenye maneno mengi na ilikuwa na warranty ya 2 yrs ila niliwapelekea Samsung njoo kesho njoo kesho zikawa nyingi nikaachana nao.

Tatizo lenu Samsung users hampendi kuelezwa mabaya ya hii brand ila hakuna duniani simu mbovu baada ya Tecno kama za Samsung,mnazolewa kwa matangazo na mipicha picha kwenye mabango tu hakuna kingine.
sasa tunazolewa na mabango wapi mkuu, utatuambia nini sisi ambao tumekaa nazo muda mrefu bila kutuzingua? au umekariri samaki mmoja akioza wote wameoza...? Shtuka bro
 
LaunchAnnounced2018, September
StatusAvailable. Released 2018, September

BodyDimensions157.5 x 77.4 x 7.7 mm (6.20 x 3.05 x 0.30 in)
Weight208 g (7.34 oz)
BuildFront/back glass, stainless steel frame
SIMSingle SIM (Nano-SIM) or Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by) - for China
IP68 dust/water resistant (up to 2m for 30 mins)
Apple Pay (Visa, MasterCard, AMEX certified)

DisplayTypeOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Size6.5 inches, 102.9 cm2 (~84.4% screen-to-body ratio)
Resolution1242 x 2688 pixels, 19.5:9 ratio (~458 ppi density)
ProtectionScratch-resistant glass, oleophobic coating
Dolby Vision
HDR10
Wide color gamut
3D Touch
True-tone
120 Hz touch-sensing

PlatformOSiOS 12, upgradable to iOS 12.2
ChipsetApple A12 Bionic (7 nm)
CPUHexa-core (2x2.5 GHz Vortex + 4x1.6 GHz Tempest)
GPUApple GPU (4-core graphics)

MemoryCard slotNo
Internal64/256/512 GB, 4 GB RAM

Main CameraDual12 MP, f/1.8, 26mm (wide), 1/2.55", 1.4µm, OIS, PDAF
12 MP, f/2.4, 52mm (telephoto), 1/3.4", 1.0µm, OIS, PDAF, 2x optical zoom
FeaturesQuad-LED dual-tone flash, HDR (photo/panorama)
Video2160p@24/30/60fps, 1080p@30/60/120/240fps, HDR, stereo sound rec.

Selfie cameraSingle7 MP, f/2.2, 32mm (standard)
FeaturesHDR
Video1080p@60fps

SoundLoudspeaker Yes, with stereo speakers
3.5mm jack No
Active noise cancellation with dedicated mic

CommsWLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, hotspot
Bluetooth5.0, A2DP, LE
GPSYes, with A-GPS, GLONASS, GALILEO, QZSS
NFCYes
RadioNo
USB2.0, proprietary reversible connector

FeaturesSensorsFace ID, accelerometer, gyro, proximity, compass, barometer
Siri natural language commands and dictation

Battery Non-removable Li-Ion 3174 mAh battery
ChargingFast battery charging 15W: 50% in 30 min
USB Power Delivery 2.0
Qi wireless charging
Talk timeUp to 25 h (3G)
Music playUp to 65 h

MiscColorsSpace Gray, Silver, Gold
PriceAbout 1250 EUR

Specs za tecno x pro niliziweka mapema kabla yako umeziona?

Kama umeziona je ulivyolinganisha na hizi zako umepata jibu gani?
 
In short Ram 6 ya simu ya tecno au huawei huwezi ifananisha na ram 4 ya iPhone unless uwe umetoka bush leo, au camera ya MP 16 au hata 20 ya tecno au huawei huwezi fananisha na MP 12 ya iPhone mkuu, nimetumia iPhone, tecno na huawei so utofauti naujua kwa uthibitisho wa macho yangu sio kwa kuambiwa
 
Specs za tecno x pro niliziweka mapema kabla yako umeziona?

Kama umeziona je ulivyolinganisha na hizi zako umepata jibu gani?
Techno mnawekewaga hata camera yenye MP 40 huko lkn ikipiga picha sasa,hata iphone 4 ina afadhali.

Inshort simu za Techno yale ma-specification yake hua ni kubwa jinga tu hakuna kitu pale.
 
jibu nililopata ni kuwa sawa, zimetofautiana ila siwezi kuja kutumia simu ambayo haipo kwenye top 20 ya simu bora za dunia..
 
die hard fan wa tekino watakuua wewe😂😂😂
 
jibu nililopata ni kuwa sawa, zimetofautiana ila siwezi kuja kutumia simu ambayo haipo kwenye top 20 ya simu bora za dunia..
Nataka kujua kwenye swala la specification ipi iko juu?
 
Back
Top Bottom