ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Huawei wanauza simu zao marekani , usipotoshe watu.
Serikali ilikuwa inajaribu kuwashauri wafanyakazi wa serikalini ya marekani kutotumia simu za Huawei ili zisije zikawa zinavujisha siri za serikali ya marekani. Lakini siyo raia wa kawaida wa marekani asitumie si kweli. Kila mtu anaruhusiwa kununua HUAWEI na kuitumia.
Trump signs bill banning government use of Huawei and ZTE tech
Senate Republicans voted for an even tougher ban.
Soma hiyo link hapo,Trump mwaka jana alisign sheria ya kuzuia matumizi ya bidhaa za Huawei na ZTE nchini USA.
