Mimi natumia simu aina ya HUAWEI HONOR 5X
Huawei ni simu nzuri sana na imara pia zinakaa na charge muda mrefu sana pamoja na matumizi makubwa ya internet au video calls.
Mimi nimekuwa mtumiaji wa simu tofauti tofauti, lakini Huawei jamani ni simu bora tusiongee unazi wa majina tu , sijui iPhone, Samsung, sijui nini, hapana kampuni ya HUAWEI wanajitahidi sana mpaka wakaanza kufanyiwa visa , lakini yote ni kutokana na ubora wa technology yao ilivyoadvance kwenye mambo ya simu .
Na kuitaka kujua uzuri wa Huawei , nunua yale matoleo ya marekani , ulaya , yaani matoleo ya kuuzwa nchi za nje ndiyo balaa .
Mfano mimi niliagiza toka marekani , Namaanisha Huawei Honor 5X, ilikuwa inauzwa marekani.
HUAWEI wapo juu sana kuliko simu yoyote kwa sasa.
Na hiyo ni mpaka utunzaji wa charge.
Atakayekataa , ajaribu Huawei P30 sasa aone moto.