jumper
Member
- Aug 5, 2018
- 13
- 7
Ni TVHuawei ni simu sasa.???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni TVHuawei ni simu sasa.???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
Hiyo ni huawei gani
Mkuu Ulaya unaifahamu vizuri lakini?Hizo kazi za wazee ulizozitaja hapo ndio zinazo ongoza kwa malipo,kuna nchi hata uwe na phd hizo kazi hupati mpaka uende shule maalumu miaka 3,Uelewe tuu salary ya fresher huanzia € 2000.Wabeba maboksi, wafagiaji na wasafisha vyoo na wasukumaji wa viti vya wazee na watu wa kutawaza viajuza vilivyotelekezwa na watoto wao ndio hununua hizi simu unazosema.
we ndio umeongea vizuri, maana vitu vingi vya ulaya ni made in china ila ubora ni tofauti na vinavyoletwa Afrika.Huawezi zinazouzwa ulaya ni tofauti zinazouzwa africa... in terms of quality.... sisi tunanunua simu zimeandikwa for East africa only....
acha kuchekesha watu umetoka kwenye dalala ukaona kila mtu anatumia huawei na huawei yako.kuna nchi hata hiyo huawei hawaijui inafananje kama india,usa,canada kwa kuwa mchina kakumata kuanzia dada yako yeshu,mpaka ulivyo navyo nyumbani
Haifiki kwa kigezo ganiYaani iphone ukiachana na uimara wa ulinzi wa simu hata kwa tecno haifiki
Wachina wanajidai kila mtu duniani anajua lugha yao...kuna siku nilisoma uzi mmoja hapa unazisifia Xiomi na mimi nikaona niagize ya kwangu yani mwanzo ulikuwa mgumu sana kila mahali ni kichina tupu hadi nikataka kuitelekeza nikahisi nimeingizwa mkenge. Hata hizi Huawei Japo sijawahi kutumia ila bila shaka nazo zitakuwa na ujinga kama wa Xiomi wa kujaza kichina kwenye simu.
Haifiki kwa kigezo gani
Mzuqa!
Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.
Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei
Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.
Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.
Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.
China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
Haya masimu makubwa makubwa siyapendi kama niniPia kwa kuongezea ni kuwa MATE X ndio ya kwanza kutoka kabla ya foldable phone yeyote duniani .
Mate x imetoka tokea FebruaryView attachment 1075632
Sijawahi ikubali!!!Huawei ni simu sasa.???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
Virus ni matumizi yako.Sio camera tu Huawei haishiki virus kirahisi sio kama Samsung hadi kero.
Camera ya tecno MP24 ni sawa na MP12 ya iphoneMkuu hivi iphone ina specs gani za kutisha mpaka ushindwe kuifananisha na tecno
Kwahiyo tecno ipo juu kuliko iphone?Sasa mkuu tecno camon11 pro utaifananisha na iphone 7s??
Tecno camon 11 pro VS Iphone7s
Ram 6GB = > Ram 3GB
Internal 64GB = > Internal 128,256GB
Camera 16 dual = > Camera 12 dual
Hakuna cha matumizi mkuu toka ni nunue Huawei Sijawahi kupata tatizo hilo na matumizi yake naona nimezidisha zaidiVirus ni matumizi yako.
Hapa apple products zinashika virus.