Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Wabeba maboksi, wafagiaji na wasafisha vyoo na wasukumaji wa viti vya wazee na watu wa kutawaza viajuza vilivyotelekezwa na watoto wao ndio hununua hizi simu unazosema.
Mkuu Ulaya unaifahamu vizuri lakini?Hizo kazi za wazee ulizozitaja hapo ndio zinazo ongoza kwa malipo,kuna nchi hata uwe na phd hizo kazi hupati mpaka uende shule maalumu miaka 3,Uelewe tuu salary ya fresher huanzia € 2000.

Jamaa yangu anaefanya kazi hizo mwaka jana december msimu wa christmass alipewa tip ya € 3000 na familia moja kwa kazi nzuri.
 
Binafsi natumiaga sana Huawei kuliko simu nyingine sababu ya security features na uwezo wa kudhibiti matumizi ya RAM manually wewe mwenyewe bila kusubiri simu kujam na kuanza usumbufu wa kuwa nzito.
 
acha kuchekesha watu umetoka kwenye dalala ukaona kila mtu anatumia huawei na huawei yako.kuna nchi hata hiyo huawei hawaijui inafananje kama india,usa,canada kwa kuwa mchina kakumata kuanzia dada yako yeshu,mpaka ulivyo navyo nyumbani

Kama kuna mtu amepost pumba kwenye hii thread ni wewe
 
ilikuwaje sasa? au ulienda kozi kwanza ya kichina?
Wachina wanajidai kila mtu duniani anajua lugha yao...kuna siku nilisoma uzi mmoja hapa unazisifia Xiomi na mimi nikaona niagize ya kwangu yani mwanzo ulikuwa mgumu sana kila mahali ni kichina tupu hadi nikataka kuitelekeza nikahisi nimeingizwa mkenge. Hata hizi Huawei Japo sijawahi kutumia ila bila shaka nazo zitakuwa na ujinga kama wa Xiomi wa kujaza kichina kwenye simu.
 
Matatizo ya Samsung yalianzia na ile Galaxy Note 7 ilikuwa ikishika moto kutokana na matatizo ya battery yake..

Na hili tatizo jingine la Galaxy Fold ambayo ni ya kufunguka kwa ndani au In-folding inasababisha kioo kupasuka ndo linaleta matatizo zaidi.

Huawei wao wameiga hii simu ya Galaxy Fold kwa kuja na hiyo ya Mate X ambayo inafunguka kwa nje au Out-folding.

Kufunguka kwa ndani au In-folding kunaleta nguvu ya mgandamizo au pressure kwenye kioo na hapo Samsung inabidi warudi maabara kurekebisha mambo.

Mpaka sasa Samsung wamesitisha pre-orders za wateja kujaribu kutatua hilo tatizo.

Hapo ndipo Huawei wanapoziba nafasi kiulaini.

Wachina wapo vizuri kwenye kuwapa changamoto watu wa Samsung, LG na Sony na sasa wamewapita Apple kwenye mauzo.

Simu zake zinazotamba kwa sasa ni hizi za P na Mate huku P ikiwa yapendwa kwa masuala kama kupakua miziki na kusikiliza, hii ya Mate iko nzuri kwenye masuala ya kuchukua picha.

Kitu kingine pia ni kwamba model za P 10 na P20 ingawa ni za zamani lakini bado zauzika sana sokoni. Hata P30 na P30 pro ndo zashika kasi kwa umaarufu huku Mate 20 nazo zikiwa bado zauzika.

Pia tusisahau kwamba Huawei ni mtengenezaji wa mitambo ya mawasiliano ambae baadae atakuja kuwa mtengenezaji mkubwa wa mitambo ya mawasiliano pamoja na simu za mkononi.

Simu bora kabisa za Huawei kwa mwaka 2019:

1. Huawei P30 Pro

2. Huawei Mate 20 Pro

3. Huawei P20 Pro

4. Huawei P20- hii ndo bei inaanza kushuka kidogo.

5. Huawei Mate 20

6. Huawei Mate X

7. Huawei Mate 10 pro

8. Huawei Mate 20 Lite

9. Huawei P10 Plus

na namba 10 Huawei P Smart (imetoka mwezi January)

NB: 1. Mimi natumia P20 ambayo ni decent kidogo kwa bei na kadhalika.

2. P Smart na Honor 10 Lite zina bei sawa na zimekuwa cloned lakini ni bora kuchukua Honor 10 Lite kwa ubora wa picha.

Hivyo mkuu, John Stephano umeona jambo zuri sana hapo.
 
Zinazo kwenda huko sio zinazokuja huku kwenye dark continent
Mzuqa!

Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.

Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei

Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.

Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.

Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.

China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
 
Hii niliyonayo ikifikia muda wa kupewa taraka nachukua zangu Huawei!! This has been my plan
 
Sasa mkuu tecno camon11 pro utaifananisha na iphone 7s??

Tecno camon 11 pro VS Iphone7s

Ram 6GB = > Ram 3GB

Internal 64GB = > Internal 128,256GB

Camera 16 dual = > Camera 12 dual
Kwahiyo tecno ipo juu kuliko iphone?
 
Back
Top Bottom