Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Mzuqa!

Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.

Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei

Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.

Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.

Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.

China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
Embu acha ku post pumba,hivi unajua kuna simu za HUAWEI zina bei sawa au zaidi ya Samsung ambazo hapa bongo watu wengi hawawezi ku afford?HUAWEI ni brand kubwa,brand ambayo haiuzi Europe ni TECNO
 
Mzuqa!

Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.

Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei

Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.

Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.

Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.

China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
Tena kwa taarifa yako HUAWEI mpaka Marekani zinauzwa achilia mbali hizo Scandinavian Countries ulizozitaja
 
Sasa mkuu tecno camon11 pro utaifananisha na iphone 7s??

Tecno camon 11 pro VS Iphone7s

Ram 6GB = > Ram 3GB

Internal 64GB = > Internal 128,256GB

Camera 16 dual = > Camera 12 dual

we kweli mshamba wa simu, Acha kufananisha iphone na vitu vya kijinga , kwa taharifa yako 1 gb ram ya iphone ni zaid ya 6 gb ya tecno, unapofananisha vitu ka hivo ebu uangalie kwanza processor ya kifaa ni aina ganii m, achana na ayo ma MTK , ram 6 gb na bado simu ina stuck wkt iphone ram 1 gb haistaki ata chembe
 
Kama in hivyo mbona tofauti ni ndogo sana hii ikiandikwa for east Africa nyingine itaandika east America na ulaya
Huawezi zinazouzwa ulaya ni tofauti zinazouzwa africa... in terms of quality.... sisi tunanunua simu zimeandikwa for East africa only....
 
Wako vizuri na wana brand yao inaitwa HONOR ni simu nzuri sana
Mimi natumia simu aina ya HUAWEI HONOR 5X
Huawei ni simu nzuri sana na imara pia zinakaa na charge muda mrefu sana pamoja na matumizi makubwa ya internet au video calls.
Mimi nimekuwa mtumiaji wa simu tofauti tofauti, lakini Huawei jamani ni simu bora tusiongee unazi wa majina tu , sijui iPhone, Samsung, sijui nini, hapana kampuni ya HUAWEI wanajitahidi sana mpaka wakaanza kufanyiwa visa , lakini yote ni kutokana na ubora wa technology yao ilivyoadvance kwenye mambo ya simu .

Na kuitaka kujua uzuri wa Huawei , nunua yale matoleo ya marekani , ulaya , yaani matoleo ya kuuzwa nchi za nje ndiyo balaa .
Mfano mimi niliagiza toka marekani , Namaanisha Huawei Honor 5X, ilikuwa inauzwa marekani.
HUAWEI wapo juu sana kuliko simu yoyote kwa sasa.
Na hiyo ni mpaka utunzaji wa charge.

Atakayekataa , ajaribu Huawei P30 sasa aone moto.
 
Huawei sim zao zina better value for money kuliko android nyingine.Pia wanatoa simu kali sana na Samsung asipoangalia yatamkuta ya HTC na Nokia ,ulimwengu wa sim hautakiwi kupigwa gap na mpinzani wako. Bahati mbaya kwa Huawei ni hawaruhusiwi kuuza sim marekani kwa sababu za kiusalama ambalo ni siko namba 2 kwa ukubwa duniani Ila namba 1 kwa faida ya mauzo kwa unit.
Huawei wanauza simu zao marekani , usipotoshe watu.
Serikali ilikuwa inajaribu kuwashauri wafanyakazi wa serikalini ya marekani kutotumia simu za Huawei ili zisije zikawa zinavujisha siri za serikali ya marekani. Lakini siyo raia wa kawaida wa marekani asitumie si kweli. Kila mtu anaruhusiwa kununua HUAWEI na kuitumia.
 
acha kuchekesha watu umetoka kwenye dalala ukaona kila mtu anatumia huawei na huawei yako.kuna nchi hata hiyo huawei hawaijui inafananje kama india,usa,canada kwa kuwa mchina kakumata kuanzia dada yako yeshu,mpaka ulivyo navyo nyumbani
Kwa taarifa yako ndani ya marekani kuna kiwanda cha simu za HUAWEI tena kikubwa sana.
Na HUAWEI ni simu ambayo ni maarufu sana duniani na ina jina kubwa sana.
HUAWEI wana simu za mezani marekani pia tena ndiyo zinazopendwa sana hata maofisini
 
HUAWEI hata kwenye ulinzi zipo vizuri sana , kuliko hata hiyo iPhone.
Itumie ndiyo utajijua vizuri .
Achana na haya matoleo ya Y530, kuanzia hapo kuja juu ndiyo balaa.
 
we kweli mshamba wa simu, Acha kufananisha iphone na vitu vya kijinga , kwa taharifa yako 1 gb ram ya iphone ni zaid ya 6 gb ya tecno, unapofananisha vitu ka hivo ebu uangalie kwanza processor ya kifaa ni aina ganii m, achana na ayo ma MTK , ram 6 gb na bado simu ina stuck wkt iphone ram 1 gb haistaki ata chembe
Huo ni uongo mweupee hata dogo wa nasary atakupinga

Hivi ushawahi shika hiyo simu ya 6GB achilia mbali kutumia??
 
Processor mbona ni kubwa tena octa core
 
Mimi natumia simu aina ya HUAWEI HONOR 5X
Huawei ni simu nzuri sana na imara pia zinakaa na charge muda mrefu sana pamoja na matumizi makubwa ya internet au video calls.
Mimi nimekuwa mtumiaji wa simu tofauti tofauti, lakini Huawei jamani ni simu bora tusiongee unazi wa majina tu , sijui iPhone, Samsung, sijui nini, hapana kampuni ya HUAWEI wanajitahidi sana mpaka wakaanza kufanyiwa visa , lakini yote ni kutokana na ubora wa technology yao ilivyoadvance kwenye mambo ya simu .

Na kuitaka kujua uzuri wa Huawei , nunua yale matoleo ya marekani , ulaya , yaani matoleo ya kuuzwa nchi za nje ndiyo balaa .
Mfano mimi niliagiza toka marekani , Namaanisha Huawei Honor 5X, ilikuwa inauzwa marekani.
HUAWEI wapo juu sana kuliko simu yoyote kwa sasa.
Na hiyo ni mpaka utunzaji wa charge.

Atakayekataa , ajaribu Huawei P30 sasa aone moto.
P30 hiyo hupaswi kufananisha na simu yeyote hapa kwanza wakitumia hiyo watajilaumu sana kupoteza muda wao kwenye iphone na samsung, wachukue tu huawei psmart wacheki mziki wake
 
Samsung wataendelea kushika soko hasa kutokana na ujio wa segment mpya ya Galaxy A10, A30 ........A80
 
Huo ni uongo mweupee hata dogo wa nasary atakupinga

Hivi ushawahi shika hiyo simu ya 6GB achilia mbali kutumia??

Sijahusisha Huawei kweny post yangu, then simu yenye 6 gb na inastuck ni camon cx pro, ram 6 gb internal 64 gb, kila siku rfk angu anaiformat
 
Back
Top Bottom