Ukikuta huawei mchina anayotumia mwenyewe hata samsung haioni ndani
Hutowasikia Samsung fanboys wakichangia kuhusu hili. Wanafiki kweliSamsung toleo jipya galaxy fold imeahirishwa baada ya screen kuvunjika wakati wa kuijaribia tu
Ndio kwanza imetoka na kufa
Daa kutangulia sio kufika kweli
Na Huawei wanachekea chooni
Ikifikia ukweli hakuna kuteteaHutowasikia Samsung fanboys wakichangia kuhusu hili. Wanafiki kweli
Huawei akiingia kwy mtego wa kutengeneza simu za Aina nyingi itakula kwake kama Samsung. iPhone atabaki kuwa juuuuu kabisaUnatumia Huawei y300 kwanini usiidharau!..
Tumia Huawei P series uone dunia ilivyo tamu.
Una experience na camon x pro???Mkuu tatizo ni kua tuna experience na izo Simu zote ndo maana tunafinalize kwa kusema Iphone ni simu bora......specifications za tecno ni kubwa kwa namba lakini sio kwa operability...mimi nmetumia tecno kama 4 hivi Samsung za kutosha na sasa natumia Iphone ukiniuliza ntakujibu Iphone ni simu nzuri kuliko izo nyingine
Haters watakataaLabda kwa kuongezea tu nu kwamba hii simu imekuja na new technology kwenye camera.
Kuna Camera 4 pale nyuma ila kuna camera moja ambayo ndo ipo chini kabisa inaitwa Telescopic camera.
Unaifahamu telescope???
Basi hiyo camera imekuwa designed kwa muundo wa telescope. Yaani ukiachana na ile lens unayoiona nje kuna lens zingine mbili wamezifold kwa ndani kwa muundo wa telescope.
Sasa when comes to zooming ni balaa... simu inazoom 50× na unaona details clear....
Hakuna simu yenye jeuri ya kuzoom hivo au hata nusu ya hivo...
Theresa May ametoa go ahead leo kwa Huawei wajenge 5g UKUna experience na camon x pro???
Mbona iphone ndiyo ina fake specs camera ya 8mp imezidiwa na huawei lua U22 yenye megapixel 5
Huawei mbona ana aina nyingi naye sema Flagship yake ni hiyo P series na Mate!.. Lakini anajitahidi kutoa zenye ubora sio Samsung na Duos zake za 8GB HDD wakati huo camera mbovu!..Huawei akiingia kwy mtego wa kutengeneza simu za Aina nyingi itakula kwake kama Samsung. iPhone atabaki kuwa juuuuu kabisa
Usa wanafigisu na huawei na ndio maana imepigwa ban isiuzwe kule, just imagine huawei imepewa dhamana ya kuuza usa we unafikiri hata spelling za iphone zingetushinda kuandikaTheresa May ametoa go ahead leo kwa Huawei wajenge 5g UK
USA walisema ooh kwa usalama sio nzuri utafikiri inawahusu au kwa sababu ya dili?
Ni mahasidi sana USAUsa wanafigisu na huawei na ndio maana imepigwa ban isiuzwe kule, just imagine huawei imepewa dhamana ya kuuza usa we unafikiri hata spelling za iphone zingetushinda kuandika
Mkuu hapo juu ilikua battle kati ya iphone x na tecno camon x pro mwisho wa battle tecno kaibuka kidedeaiPhone katolewa nock out tu na Huawei P20 pro Sasa cjui hizo mpya itakuaje, Hadi USA kaanza figisu.
Angalieni tu ata YouTube performance test ya Huawei P20 pro, iPhone x , na Samsung then mrudi hapa
Watanzania huwa tunafata upepo sana.
Hayo ni maoni yako na mtazamo wako. Tukienda hivi porojo za vijiwe vya kahawa zitajaa humuAiseee chalii yangu source ni mimi mwenyewe. Wala sifanyi promo
Mkuu hapo juu ilikua battle kati ya iphone x na tecno camon x pro mwisho wa battle tecno kaibuka kidedea
Naona unamdharirisha sana huawei p20 pro kumfananisha na iphonex
Watu wamepumbazwa na kile ki logo cha apple kilicho ng'atwa pembeniP20 pro noma mkuu unaweza kwenda nayo futi kadhaa chini ya maji na zaidi ya nusu saa (waterproof)
Hizo zingine nani wakukaribia?
Acha trio camera mgpx 40 *3 daaah
Watu wamepumbazwa na kile ki logo cha apple kilicho ng'atwa pembeni
Mkuu tatizo ni kuwa hatutengenezi kitu kwa hiyo ni mkumbo tu na kutokuelewa mamboFansy tu,wabongo ni Taifa tunaopenda show tu bila kwenda deep kuangalia (research)hata magari iko hivo ukicheki barabarani Kama sare ya Taifa watu wanafata mkumbo tu
Hata uhalisia wa soko upo hivo... Kwa mwaka jana tu.. .Huawei ameongeza market share kwa 40% Samsung aliporomoka kwa 11% iphone aliporomoka kwa asilimia kadhaa.Hayo ni maoni yako na mtazamo wako. Tukienda hivi porojo za vijiwe vya kahawa zitajaa humu