Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

So kwkoo simu ni camera bora tu eh?watu wa selfie kazi mnayo
Hapana sector zote huawei wamefit ila kwenye sector ya camera wako vizuri zaidii, kwa mfano p20 ina tripple camera zenye uwezo mkubwa, pia ina 6GB ya RAm ambapo iphone x ina 3 GB
 
Wabeba maboksi, wafagiaji na wasafisha vyoo na wasukumaji wa viti vya wazee na watu wa kutawaza viajuza vilivyotelekezwa na watoto wao ndio hununua hizi simu unazosema.
 
acha kuchekesha watu umetoka kwenye dalala ukaona kila mtu anatumia huawei na huawei yako.kuna nchi hata hiyo huawei hawaijui inafananje kama india,usa,canada kwa kuwa mchina kakumata kuanzia dada yako yeshu,mpaka ulivyo navyo nyumbani
India hawaijui huawei wakati katika nchi zilizonunua simu kutoka kampuni ya huawei india ni moja wapo??

Huaweip30 pro imezinduliwa india tarehe 15 mwezi huu utasemaje haijulikani??

Yaani huku bongo tunaijua huawei ijapokua hawajawahi kuja kuzindua hata simu ya keypad sembuse india wanashindwaje kuijua huawei ambayo wamefanya hadi uzinduzi wa toleo lao lamwisho?
 

Nahisi umetia chumvi kiasi. Hali ya matumizi ya Huawei huko ulikotaja haijo kama unavyosema. Inaweza kuwa matumizi yameongezeka ukilinganisha na ilivyokuwa lakini si kama unavyoielezea. Yaani ni kama kutoka 1% kwenda 2%.
 
JF Raha sana, leo iPhone haifui dafu kwa Tecno?! Haya wale wenzangu wa Tecno tumepata pa kujidai
Sasa mkuu tecno camon11 pro utaifananisha na iphone 7s??

Tecno camon 11 pro VS Iphone7s

Ram 6GB = > Ram 3GB

Internal 64GB = > Internal 128,256GB

Camera 16 dual = > Camera 12 dual
 
PRICE IN INDIA₹ 71,990

PERFORMANCE Octa core

DISPLAY6.47" (16.43 cm)

STORAGE256 GB

CAMERA40MP + 20MP + 8MP

BATTERY4200 mAh

RAM8 GB

LAUNCH DATE IN INDIAApril 15, 2019 (Official)

Niambie iphone gani anagusa moto huuView attachment 1075557
Watu wa tecno mnavojifariji si haba! Iphone 4 tu apo ina uwezo wa kufungua app faster kuliko hio junk phone uloweka apo.
 
Huawei ni simu sasa.???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
Upo kwenye karne ya information lkn bado tu mwaka jana kampuni iliyoongoza kuuza simu duniani ni HUAWEI ikifuatiwa na Samsung kama hujui hadi Marekani wakaanza kuiletea figisu za kibiashara
 
Upo kwenye karne ya information lkn bado tu mwaka jana kampuni iliyoongoza kuuza simu duniani ni HUAWEI ikifuatiwa na Samsung kama hujui hadi Marekani wakaanza kuiletea figisu za kibiashara
Hata Tecno zinaongoza kuuzwa Tz lakini haina maana ndio simu nzuri.
 
Sasa kuna watu bei kubwa ndiyo inafanya wanunue simu ili kuwa tofauti na kadamnasi! Watu wanataka kuwa exclusive.
 
Huawei P30 pro ndio simu bora ya 2019 kuanzia camera hadi design yake ila watu wasiojua kitu watabisha
Wengine siyo kubisha ila wanaangalia u-exclusive. Kwa mfano mimi simu ikishakuwa na bei ya kufanya hata watu wa kati wamudu kuinunua siitamani. Mimi naenda kwenye ubora na u-exclusive. Ndiyo maana Iphone zimekuwa chaguo langu.
 
Hapana mkuu mimi hapa nilipo natumia huawei p20 lite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…