Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuqa!

Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.

Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei

Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.

Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.

Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.

China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
 
Huawei ni simu sasa.???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
IMG-20190419-WA0002.jpg
 
Mzuqa!

Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.

Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei

Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.

Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.

Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.

China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
Mume wa dada yako aliekupeleka ulaya kakununulia Huawei una furaha mpaka umeanzisha uzi

Na huo utafîti wako uchwara ulioufanya hapo kwenye sofa la shemejì yako
 
Mzuqa!

Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana.

Ghafla bin Vuu yani sasa hivi karibu kila mtu Ana Huawei. Ukiwa kwenye vyombo vya usafiri mkusanyiko husikii tena milio ya simu na meseji za Samsung zikilia kama zamani. Sasa hivi ni Huawei kila kona kila rika. Kwenye basi treni hadhira simu ikiita ni milio ya Huawei

Huawei inakuja kasi sana tena ya ajabu yani wanauza na sijui wanawalipa wauza simu kwasababu ukitaka KUNUNUA wanakushauri ununue Huawei.

Samsung is slowly fading. IPhone inajifanyaga shauri zake.

Sasa cha kushangaza sisi wamatumbi eti tunadharau hizi simu za China.

China aiseee sometimes hatareee hii marketing strategy waliitumia kwa Huawei wamefanikiwa sana. Labda ndio maana wamemshikilia yule mama wa Huawei kanada
Mkuu huawei ni simu kali sana
Angalia simu kama huawei Nova 3i au 4i

Angalia huawei Pro 30

Samsung ana kazi sana sana kupambana na huawei

South Africa Huawei ndio kwenyewe

Samsung na iPhone bei za ni overpriced kuliko uhalisia

Bei za Samsung wameziongeza bila sababu za msingi

Mkuu pia kuna simu za Xiaomi redmni zimeanza kufika Dar
 
Hiyo huawei p30 ni latest imezinduliwa kwa mara ya kwanza india aiseee specs zake sijui uifananishe na simu gani
 
PRICE IN INDIA₹ 71,990

PERFORMANCE Octa core

DISPLAY6.47" (16.43 cm)

STORAGE256 GB

CAMERA40MP + 20MP + 8MP

BATTERY4200 mAh

RAM8 GB

LAUNCH DATE IN INDIAApril 15, 2019 (Official)

Niambie iphone gani anagusa moto huu
68885239.jpeg
 
Tulia wewee mgerasi acha porojo za kindezi jamvini. Jikite kwenye mada wewe na ufanye kazi
Wewe myebusi unafokafoka ili iweje!?

Hujui strategy za mabeberu wewe!
Wanakutanguliza mbele kisha wanakupandia kwa nyuma! Sijui unakiogopa kibamia kile kwa nini!

Ngoja tuwaulize maccm.
Hivi kwanini huwa mnakiogopa kibamia cha beberu?

Mimi ni punda dume!
 
Back
Top Bottom