Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

Sirina

Member
Joined
Jan 18, 2025
Posts
12
Reaction score
31
Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu kufungiwa?
 
Hakuna shida yyt mbali na simu kufungiwa.Kungekuwa kuna shida yyt wangekupa document/nyaraka ya makubaliano.Hyo kukupiga picha sijui kitambulisho na wadhamini ni ile kukuchota tu wakwangue hela yako.Mimi wameniuzia infinix hot 50 pro plus kitapeli na wakanidanganya utaratibu na bei..nakuja kutumia nakuta kumbe bei ni zaidi ya walivyoniambia unategemea katika mazingira hayo nitawalipa?Over my dead body NEVER
 
Lipa pesa ya watu kijana acha ujanja ujanja mjini kwani ukilipa unapungukiwa nini
 
IMG_20250202_021126.jpg
 
Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu kufungiwa?
Kama wewe ni mwanamme wa Dar kawaida wanapigwa vidole kukumbushwa kurudisha mrejesho ila wanaume wengine wanapigiwa simu tu kukumbushwa. Wewe ni mtu wa wapi?
 
Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu kufungiwa?
Inategemeana na mtu na mtu na mahali uishipo, nasikia wanaume wa Dar ndiyo wana wakati mgumu kwani kuna wengine mpaka wanafilwa tena hadharani kabisa na wengine wanafanya makusudi kutorudisha ili wabakwe.
 
Hakuna shida yyt mbali na simu kufungiwa.Kungekuwa kuna shida yyt wangekupa document/nyaraka ya makubaliano.Hyo kukupiga picha sijui kitambulisho na wadhamini ni ile kukuchota tu wakwangue hela yako.Mimi wameniuzia infinix hot 50 pro plus kitapeli na wakanidanganya utaratibu na bei..nakuja kutumia nakuta kumbe bei ni zaidi ya walivyoniambia unategemea katika mazingira hayo nitawalipa?Over my dead body NEVER
Pole sana. Ila ki ufupi hiyo miradi ya kukopesha simu ni kama utapeli tu unaojaribu kutafutiwa namna uwe halali. Yani ukipiga hesabu unakuta mkopo wote ni sawa na mara mbili ya pesa inayotakiwa kununua simu mbili mpya kama uliyokopa
 
Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu kufungiwa?
Wewe una biashara gani
 
Ulipoichukua uliwauliza waliokupa hayo maswali?
 
Back
Top Bottom