kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Nini maana ya mkopo?Pole sana. Ila ki ufupi hiyo miradi ya kukopesha simu ni kama utapeli tu unaojaribu kutafutiwa namna uwe halali. Yani ukipiga hesabu unakuta mkopo wote ni sawa na mara mbili ya pesa inayotakiwa kununua simu mbili mpya kama uliyokopa