Lipa pesa ya watu kijana acha ujanja ujanja mjini kwani ukilipa unapungukiwa niniHakuna shida yyt mbali na simu kufungiwa.Kungekuwa kuna shida yyt wangekupa document/nyaraka ya makubaliano.Hyo kukupiga picha sijui kitambulisho na wadhamini ni ile kukuchota tu wakwangue hela yako.Mimi wameniuzia infinix hot 50 pro plus kitapeli na wakanidanganya utaratibu na bei..nakuja kutumia nakuta kumbe bei ni zaidi ya walivyoniambia unategemea katika mazingira hayo nitawalipa?Over my dead body NEVER
Lipa pesa ya watu acheni ujanja ujanja vijanaHivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu kufungiwa?
Kama wewe ni mwanamme wa Dar kawaida wanapigwa vidole kukumbushwa kurudisha mrejesho ila wanaume wengine wanapigiwa simu tu kukumbushwa. Wewe ni mtu wa wapi?Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu kufungiwa?
Inategemeana na mtu na mtu na mahali uishipo, nasikia wanaume wa Dar ndiyo wana wakati mgumu kwani kuna wengine mpaka wanafilwa tena hadharani kabisa na wengine wanafanya makusudi kutorudisha ili wabakwe.Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu kufungiwa?
haya umeandika ukiwa na akili timamu au una msongo wa mawazo?Inategemeana na mtu na mtu na mahali uishipo, nasikia wanaume wa Dar ndiyo wana wakati mgumu kwani kuna wengine mpaka wanafilwa tena hadharani kabisa na wengine wanafanya makusudi kutorudisha ili wabakwe.
Mimi mwenyewe nina wasiwasi😀haya umeandika ukiwa na akili timamu au una msongo wa mawazo?
Pole sana. Ila ki ufupi hiyo miradi ya kukopesha simu ni kama utapeli tu unaojaribu kutafutiwa namna uwe halali. Yani ukipiga hesabu unakuta mkopo wote ni sawa na mara mbili ya pesa inayotakiwa kununua simu mbili mpya kama uliyokopaHakuna shida yyt mbali na simu kufungiwa.Kungekuwa kuna shida yyt wangekupa document/nyaraka ya makubaliano.Hyo kukupiga picha sijui kitambulisho na wadhamini ni ile kukuchota tu wakwangue hela yako.Mimi wameniuzia infinix hot 50 pro plus kitapeli na wakanidanganya utaratibu na bei..nakuja kutumia nakuta kumbe bei ni zaidi ya walivyoniambia unategemea katika mazingira hayo nitawalipa?Over my dead body NEVER
Hiyo pesa ya mkopo ni ndefu balaa. Wakinifuatilia nawaambia imeibiwa.Lipa pesa ya watu kijana acha ujanja ujanja mjini kwani ukilipa unapungukiwa nini
Kuendelea kulipa hapana mkuu. Kwani ukiirudisha wanaipokea?Wameshachukua ya kwao kilichobaki ni faida tu. Kama huwalipi warudishie uwaambie umeshindwa kulipa kwa sababu hela huna kuliko kuiacha iharibike tu ndani.
Zaidi ya yote lipa mkuu ulichukua kwa hiari fanya hivyo
Sina hakika lakin ukiwaambia sina hela watapokea tu kwani kuna mali uliandikisha wataitaisfisha?Kuendelea kulipa hapana mkuu. Kwani ukiirudisha wanaipokea?
Lipa deni usikimbie kulipa deni dawa ya deni kulipaHiyo pesa ya mkopo ni ndefu balaa. Wakinifuatilia nawaambia imeibiwa.
Wewe una biashara ganiHabari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu kufungiwa?
Ulipoichukua uliwauliza waliokupa hayo maswali?Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu kufungiwa?