Nini maana ya mkopo?Pole sana. Ila ki ufupi hiyo miradi ya kukopesha simu ni kama utapeli tu unaojaribu kutafutiwa namna uwe halali. Yani ukipiga hesabu unakuta mkopo wote ni sawa na mara mbili ya pesa inayotakiwa kununua simu mbili mpya kama uliyokopa
Mkuu naomba nikuulize mimi nimepewa simu nikaambiwa gharama ya kulipa mwanzo ni sh 177000 halaf baadae nitaanza kulipa sh 93000 kila mwezi kwa muda wa miezi sita.Nikalipa hyo 177.. kesho yake nataka kulipa ile 93000 ya mwezi wa kwanza nakuta deni ni 1131500 kwa miezi 12!!!!Wtf is this..nawapigia wananiambia ni opt miezi sita nikawaambia wakat mnaniuzia mliniambia ni miezi sita..nachek miezi sita na penyewe nakuta 751000 tofauti na nilivyokuwa nimeambiwa 550000!!!!Sasa wew huoni hyo ni utapeli!Nimewaambia nitalipa baada ya hyo miezi 12 hyo hela waliyonidanganya niliyotaka kuwalipa ndani ya miezi sita 550000 naifanyia biashara,simpleLipa pesa ya watu kijana acha ujanja ujanja mjini kwani ukilipa unapungukiwa nini
Hii nomaInategemeana na mtu na mtu na mahali uishipo, nasikia wanaume wa Dar ndiyo wana wakati mgumu kwani kuna wengine mpaka wanafilwa tena hadharani kabisa na wengine wanafanya makusudi kutorudisha ili wabakwe.
Sasa ndugu ningewauliza unafikiri wangenikopeshaπUlipoichukua uliwauliza waliokupa hayo maswali?
Nakupataje mkuuTunatoa Lock simu za mkopo zilizofungwa
Kwakweli hapa nimetania mkuuNakupataje mkuu
Watakukamata kupitia NIDA yakoHabari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu kufungiwa?
Duh hapo ni kujitoa muhanga. Huwezi kujua litakalokukuta.Sina hakika lakin ukiwaambia sina hela watapokea tu kwani kuna mali uliandikisha wataitaisfisha?
Mimi wakala, nafanya miamala mitandao yote.Wewe una biashara gani
Mikopo ni utapeli.Hiyo pesa ya mkopo ni ndefu balaa. Wakinifuatilia nawaambia imeibiwa.
Usijifanye mwema sana. Hao wenyewe ni matapeli, kuwatapeli naona ni sawa.Lipa deni usikimbie kulipa deni dawa ya deni kulipa
Huwezi kuwatapeli mkuu emu fanya shughuli zingine tuUsijifanye mwema sana. Hao wenyewe ni matapeli, kuwatapeli naona ni sawa.
Simu kwa cash unauziwa laki 250 ila hao matapeli kwa mkopo ni laki 5 na elfu 50.
Ikitokea ni kuwapiga, inatakiwa wapigwe ili wajue dawa ya tapeli ni mkutapeli.
Hapa nilipo nachunguza simu nzuri ya mkopo nikawatapeli
Hawa wauza simu za mkopo ni matapeli. Dawa ya tapeli ni kuwatapeli. Mm mwenyewe naangalia ambayo naweza kuchakachua nikatumia bureMkuu naomba nikuulize mimi nimepewa simu nikaambiwa gharama ya kulipa mwanzo ni sh 177000 halaf baadae nitaanza kulipa sh 93000 kila mwezi kwa muda wa miezi sita.Nikalipa hyo 177.. kesho yake nataka kulipa ile 93000 ya mwezi wa kwanza nakuta deni ni 1131500 kwa miezi 12!!!!Wtf is this..nawapigia wananiambia ni opt miezi sita nikawaambia wakat mnaniuzia mliniambia ni miezi sita..nachek miezi sita na penyewe nakuta 751000 tofauti na nilivyokuwa nimeambiwa 550000!!!!Sasa wew huoni hyo ni utapeli!Nimewaambia nitalipa baada ya hyo miezi 12 hyo hela waliyonidanganya niliyotaka kuwalipa ndani ya miezi sita 550000 naifanyia biashara,simple
Kama wewe ni mtu wa kusoma umbeya mitandaoni huwezi kuelewa hiiπππHuwezi kuwatapeli mkuu emu fanya shughuli zingine tu
Utakua hujawahi kuzipitia shidaHawa wauza simu za mkopo ni matapeli. Dawa ya tapeli ni kuwatapeli. Mm mwenyewe naangalia ambayo naweza kuchakachua nikatumia bure
Kuna baadhi ya simu, unaunlock na unatumia free kbsa
Tumia bure basiKama wewe ni mtu wa kusoma umbeya mitandaoni huwezi kuelewa hiiπππ
Mfano hai
Payjoy Dlight M100 na Dlight M200. Watu wanatumia bureeeeeee
Wewe hujawahi kuzipitia shidaSimu ya laki mbili na nusu unalipa mkopo 400000 ukijumlisha na simu 250000.
Tanzania ndio nchi pekee zenye riba za ajabu ambazo kila tapeli uvutiwa kuwekeza hapa kumnyonya mwananchi.