Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

Hamuogopi kufatiliwa?
 
Inategemeana na mtu na mtu na mahali uishipo, nasikia wanaume wa Dar ndiyo wana wakati mgumu kwani kuna wengine mpaka wanafilwa tena hadharani kabisa na wengine wanafanya makusudi kutorudisha ili wabakwe.
Mkuu unamaanisha hapa? Wanafirwa na nani ili kulipa? Na hao wasiorudisha wanabakwa na nani?
 
Hamuogopi kufatiliwa?
Nani anifuatilie JF? Hizo simu hata ukiingia Youtube kuna Tutorial kibao watu wanafanya kazi.
Simu za mikopo hadi za USA watu wanazichakachua wanatumia bure sembuse hizi za kausha damu?
Simu ya 1GB RAM, 3G na Internal storage 4GB kwa bei halisi ni laki moja na nusu ila hawa wa mikopo unalipia laki 5. Hapana
 
Huyo hajui kitu usitumie nguvu kuwajibu watu kama Hawa mwanangu
 
Duuuh basi watu ni majasiri sanaa.
 
Nakubali mkuuπŸ˜€
 
Simu ya laki mbili na nusu unalipa mkopo 400000 ukijumlisha na simu 250000.
Tanzania ndio nchi pekee zenye riba za ajabu ambazo kila tapeli uvutiwa kuwekeza hapa kumnyonya mwananchi.
Sema wanaokopa wengi naona ni waajiriwa, wanaona hamna shida maana kila mwezi mzigo unaingia. Ukiajiriwa sometimes unajisahau sana.
 
Sawa tapeli nenda kawatapeli nakusubiria pale Ukonga Keko Segerea
We jamaa nimekushtukiaπŸ˜€ Ndio unayetuuzia simu za mikopo. Simu za mikopo ni utapeli mtupu, sema mna bahati wateja wenu wengi wameajiriwa. Bila hivyo mngekuwa mmefilisika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…