Simu gani ? Bei yake halisi sh. ngapi ? Kianzio ni sh. ngapi unalipa ? Marejesho ya siku au wiki au mwezi sh. Ngapi ? Na unapaswa ulipe kwa kipindi gani ? Miezi sita au mwaka ?Nimetoka dukani babu napotosha vip?
Sasa hapo shida ni ya naniAkiba chief sina
Weee jamaa vipi? Yani achukue simu akupe uichakashe kwa mwaka bure? Kama ni rahisi toa cashHaki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kesh. kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
Sina mzeeAchana nazo nunua kwa cash
Kupiga huwez na meseji huwez jibu ila simu unapokeaSiku ukiacha kulipia inakatiwa network huwezi kupiga wala kupokea
Wap nimesema bure?Weee jamaa vipi? Yani achukue simu akupe uichakashe kwa mwaka bure? Kama ni rahisi toa cash
Wizi huu chief60,000/- tu ukitoa watu wanaondoa mkopo.
YskoSasa hapo shida ni ya nani
AisseKupiga huwez na meseji huwez jibu ila simu unapokea
Naam unachugua ulipe ndani ya miezi au 6months au mwaka kazi kwako mie ikifikaga wiki kulipa kichwa kinauma km nikiwa naela nalipa ya mwe mzima nsisumbuliwe.Aisse
Hua unalipa kwa wiki?Naam unachugua ulipe ndani ya miezi au 6months au mwaka kazi kwako mie ikifikaga wiki kulipa kichwa kinauma km nikiwa naela nalipa ya mwe mzima nsisumbuliwe.
Yeah kaka. Nilitaka option ya 6 months ukisema ulipe ndani ya 12 months pesa lazima iwe ndefuHua unalipa kwa wiki?
Wewe unapiga hesabu kwa kujitazama peke yako, mfanyabiashara anapiga hesabu kwa kuzingatia mwenendo wa kibiashara. Wakati wewe unajiona mwaminifu, mtunzaji wa simu, sio mwizi, hutoiharibu, hutochelewa kulipa, hutokufa. Yeye anakuchukulia kama mteja yeyote yule.Mzee umepiga mahesabu kadha wa kadha hapa utadhani yote haya yanatokea
Ukipeleka rejesho wanarudishiaHee! Nimesikia hii kitu, hawakupi siku kadhaa mbele?