Simu za mkopo pasua Kichwa

Simu za mkopo pasua Kichwa

Nimetoka dukani babu napotosha vip?
Simu gani ? Bei yake halisi sh. ngapi ? Kianzio ni sh. ngapi unalipa ? Marejesho ya siku au wiki au mwezi sh. Ngapi ? Na unapaswa ulipe kwa kipindi gani ? Miezi sita au mwaka ?
 
Haki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kesh. kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
Weee jamaa vipi? Yani achukue simu akupe uichakashe kwa mwaka bure? Kama ni rahisi toa cash
 
Hapo unalipa 320k kisha unalifungua kwa makanjanja mnakuwa mmeagana.
 
Mzee umepiga mahesabu kadha wa kadha hapa utadhani yote haya yanatokea
Wewe unapiga hesabu kwa kujitazama peke yako, mfanyabiashara anapiga hesabu kwa kuzingatia mwenendo wa kibiashara. Wakati wewe unajiona mwaminifu, mtunzaji wa simu, sio mwizi, hutoiharibu, hutochelewa kulipa, hutokufa. Yeye anakuchukulia kama mteja yeyote yule.

Mentality yako ndio inakufanya usiwe na hela. Ibadilishe uwe unachukulia vitu kwa mtazamo wa kina.
 
Back
Top Bottom