project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
Simu za Sony mnazionqje wakuu haswa Sony experia 1 mark ii, mark iii na mark iv kwenye performance camera na zinapatikana wapi kwa bei gani haswa haswa mark ii na mark iii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
S23 ultra balaa lakeee sio poaaSamsung s23utra na Sony experia 1 mark v nani bingwa wa camera na kioo hapo
Huenda ilishabadilishwa kioo na wajanja. Mi ninayo Xperia XZ1 ina kioo OG cha kuja na simu mtoto huwa anaichezea na kuiangusha sana. Nishajikwaa nikaanguka nayo ikiwa mkononi zaidi ya scratches hamna damage na haina protector ni zaidi ya miezi 6 toka niinunue.Too delicate. Nilishaua mbili. Yaani hata ikigongana na sarafu ya jero mfukoni inapasuka kioo. Na hapo ina screen protector. Vinginevyo ni simu nzuri sana japo hazifikii muziki wa Samsung!
Samsung baba lao, na vioo vyao vya amoled ndo hatari na nusuToo delicate. Nilishaua mbili. Yaani hata ikigongana na sarafu ya jero mfukoni inapasuka kioo. Na hapo ina screen protector. Vinginevyo ni simu nzuri sana japo hazifikii muziki wa Samsung!
Samsung kwa upande wa kioo ni mtoto kwa Sony .Samsung Ni full HD amoled ila Sony 4k amoledSamsung baba lao, na vioo vyao vya amoled ndo hatari na nusu
Natafutq Samsung Og S21+Samsung baba lao, na vioo vyao vya amoled ndo hatari na nusu
Simu za muda mrefu, nilinunua moja 2014 hivi posta pale, ni nzurii kwa Wakati ule sijui sasa kama zipo badoSimu za Sony mnazionqje wakuu haswa Sony experia 1 mark ii, mark iii na mark iv kwenye performance camera na zinapatikana wapi kwa bei gani haswa haswa mark ii na mark iii
Wewe bado upo nyuma mkuu sony ana matoleo mapya mpaka ya mwaka huuSimu za muda mrefu, nilinunua moja 2014 hivi posta pale, ni nzurii kwa Wakati ule sijui sasa kama zipo bado
Mpya au mtumba wa dubenga?Natafutq Samsung Og S21+
Uko sawa mkuu, nna xperia 1 ishamaliza mwaka sasa, ni mtumba uliotumika mbefele huko,, sema kuzipata hapa bongo ni mtihani,, nataka nipate xperia 1ii,Hio simu
Huenda ilishabadilishwa kioo na wajanja. Mi ninayo Xperia XZ1 ina kioo OG cha kuja na simu mtoto huwa anaichezea na kuiangusha sana. Nishajikwaa nikaanguka nayo ikiwa mkononi zaidi ya scratches hamna damage na haina protector ni zaidi ya miezi 6 toka niinunue.
zipo kawaida ila wabongo bado hamajua kutumia sony tafuta sony xperia ax2 ultra iyo kisha una iroot utafulai kwa android os ya selfish ndio nayo tumia hapaSimu za Sony mnazionqje wakuu haswa Sony experia 1 mark ii, mark iii na mark iv kwenye performance camera na zinapatikana wapi kwa bei gani haswa haswa mark ii na mark iii