Simu za sony

Simu za sony

Hio simu
Too delicate. Nilishaua mbili. Yaani hata ikigongana na sarafu ya jero mfukoni inapasuka kioo. Na hapo ina screen protector. Vinginevyo ni simu nzuri sana japo hazifikii muziki wa Samsung!
Huenda ilishabadilishwa kioo na wajanja. Mi ninayo Xperia XZ1 ina kioo OG cha kuja na simu mtoto huwa anaichezea na kuiangusha sana. Nishajikwaa nikaanguka nayo ikiwa mkononi zaidi ya scratches hamna damage na haina protector ni zaidi ya miezi 6 toka niinunue.
 
Nna xperia 1

Uko sawa mkuu, nna xperia 1 ishamaliza mwaka sasa, ni mtumba uliotumika mbefele huko,, sema kuzipata hapa bongo ni mtihani,, nataka nipate xperia 1ii,
 
Simu za Sony mnazionqje wakuu haswa Sony experia 1 mark ii, mark iii na mark iv kwenye performance camera na zinapatikana wapi kwa bei gani haswa haswa mark ii na mark iii
zipo kawaida ila wabongo bado hamajua kutumia sony tafuta sony xperia ax2 ultra iyo kisha una iroot utafulai kwa android os ya selfish ndio nayo tumia hapa
 
Attachments

  • jolla-outs-sailfish-3-support-for-sony-xperia-xa2-gemini-pda.jpg
    jolla-outs-sailfish-3-support-for-sony-xperia-xa2-gemini-pda.jpg
    61.6 KB · Views: 22
Back
Top Bottom