Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika
"Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani pale Kibaha mkoani Pwani. Simu hizi zilikuwa kwa Afande Mafwele ZCO na leo zimetoka Ofisini kwake.Naomba Viongozi wenye hizi simu, mnajifahamu mliokuwa kibaha, mkachukue simu zenu kwa Kamanda Saragana."