PostGE2025 Simu za viongozi wa CHADEMA Kibaha, zilikamatwa kwenye kikao na Afande Mafwele

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huo nao moto, masheikh walipelekewa viroba vya mchele vyenye mabomu ndani kisha wakadakwa na kuning'inizwa kende juu
Hivi unapoandika haya unakuwa na picha halisi kichwani mwako juu ya unachokielezea?

Badala ya "makende" jaribu kuweka matiti kwenye nafasi ya neno hilo; pengine picha itajengeka vizuri zaidi kichwani mwako; maana hapa naona unazungumzia kitu usichojuwa.
 
Hawa polisi wanaojiona miungu wadogo hawa, kuna siku watayajutia yote haya!

Unachukuwa simu za watu kwa sheria gani?
Ilitakiwa viongozi wa Chadema hao walipochukuliwa simu zao watangaze kuwa polisi wamewavamia wakiwa kwenye kikao na kuwaibia simu ili kujenga picha ya kuonesha polisi ni wezi. Huo ni wizi.
 
Ilitakiwa viongozi wa Chadema hao walipochukuliwa simu zao watangaze kwa polisi wamewavamia wakiwa kwenye kikao na kuwaibia simu ili kujenga picha ya kuonesha polisi ni wezi. Huo ni wizi.
Mkuu 'Open school', imenibidi nicheke kwa maoni yako haya.
Hao "viongozi wa CHADEMA watangaze kwa polisi", ambao ndio hao hao wezi unaowasema; sasa hili litawezekana vipi?
 
Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika

"Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani pale Kibaha mkoani Pwani. Simu hizi zilikuwa kwa Afande Mafwele ZCO na leo zimetoka Ofisini kwake.Naomba Viongozi wenye hizi simu, mnajifahamu mliokuwa kibaha, mkachukue simu zenu kwa Kamanda Saragana."

View attachment 3516319
Wamwachie afungue biashara ya simu.

Labda alitaka mtaji toka Chadema
 
Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika

"Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani pale Kibaha mkoani Pwani. Simu hizi zilikuwa kwa Afande Mafwele ZCO na leo zimetoka Ofisini kwake.Naomba Viongozi wenye hizi simu, mnajifahamu mliokuwa kibaha, mkachukue simu zenu kwa Kamanda Saragana."

View attachment 3516319
Sio safe tena kutumika, bora wanunue new phones
 
Mkuu 'Open school', imenibidi nicheke kwa maoni yako haya.
Hao "viongozi wa CHADEMA watangaze kwa polisi", ambao ndio hao hao wezi unaowasema; sasa hili litawezekana vipi?
Ni typing error. Ni watangaze "kuwa" sio "kwa".
 
Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika

"Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani pale Kibaha mkoani Pwani. Simu hizi zilikuwa kwa Afande Mafwele ZCO na leo zimetoka Ofisini kwake.Naomba Viongozi wenye hizi simu, mnajifahamu mliokuwa kibaha, mkachukue simu zenu kwa Kamanda Saragana."

View attachment 3516319

Mafwele ni mnywa damu tu
 
Back
Top Bottom