Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
wanaogopwa wapelekewe ?wafuate wenyeweMuda wote ilikuwainfanya nn?wazipeleke ofisin kibaha
Maffuangula Mchukua simu ndiye karudisha simu au kopi yake.izi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani pale Kibaha mkoani Pwani. Simu hizi zilikuwa kwa Afande Mafwele ZCO na leo zimetoka Ofisini kwake.Naomba Viongozi wenye hizi simu, mnajifahamu mliokuwa kibaha, mkachukue simu zenu kwa Kamanda Saragana.
Yes, you are right.Bugs
ipendeni nchi yenu ndo ndugu zenu walipo na makaburi ya babu na bibi zetu yalipoSit hole county
Hizo ni za kutiliwa mashaka. Wamuachie huyo afande tumliokuwa kibaha, mkachukue simu zenu kwa Kamanda Saragana.
Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika
"Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani pale Kibaha mkoani Pwani. Simu hizi zilikuwa kwa Afande Mafwele ZCO na leo zimetoka Ofisini kwake.Naomba Viongozi wenye hizi simu, mnajifahamu mliokuwa kibaha, mkachukue simu zenu kwa Kamanda Saragana."
View attachment 3516319
Hawana shda nazo.wauze wananjaa kali snawanaogopwa wapelekewe ?wafuate wenyewe
Yes ndo maana tunatetea haki, demokrasia na kupinga utekaji.ipendeni nchi yenu ndo ndugu zenu walipo na makaburi ya babu na bibi zetu yalipo
Huo nao moto, masheikh walipelekewa viroba vya mchele vyenye mabomu ndani kisha wakadakwa na kuning'inizwa kende juuHamna aina ya moto Viongozi wa CDM hawajapitishwa!
Nashauri turudi kwenye zidumu fikra za mwenyekiti, Nonsense!
Wewe ni kiaziipendeni nchi yenu ndo ndugu zenu walipo na makaburi ya babu na bibi zetu yalipo
cha kuchoma, kukaanga,kuchemshwa au cha kupikwa na nazi?Wewe ni kiazi