Hivi unapoandika haya unakuwa na picha halisi kichwani mwako juu ya unachokielezea?Huo nao moto, masheikh walipelekewa viroba vya mchele vyenye mabomu ndani kisha wakadakwa na kuning'inizwa kende juu
Ilitakiwa viongozi wa Chadema hao walipochukuliwa simu zao watangaze kuwa polisi wamewavamia wakiwa kwenye kikao na kuwaibia simu ili kujenga picha ya kuonesha polisi ni wezi. Huo ni wizi.Hawa polisi wanaojiona miungu wadogo hawa, kuna siku watayajutia yote haya!
Unachukuwa simu za watu kwa sheria gani?
Mkuu 'Open school', imenibidi nicheke kwa maoni yako haya.Ilitakiwa viongozi wa Chadema hao walipochukuliwa simu zao watangaze kwa polisi wamewavamia wakiwa kwenye kikao na kuwaibia simu ili kujenga picha ya kuonesha polisi ni wezi. Huo ni wizi.
Mshazipachika mavitu kisha wazichukue ndio nini?wanaogopwa wapelekewe ?wafuate wenyewe
nakubaliana na weweMtego huo
Wamwachie afungue biashara ya simu.Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika
"Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani pale Kibaha mkoani Pwani. Simu hizi zilikuwa kwa Afande Mafwele ZCO na leo zimetoka Ofisini kwake.Naomba Viongozi wenye hizi simu, mnajifahamu mliokuwa kibaha, mkachukue simu zenu kwa Kamanda Saragana."
View attachment 3516319
Sio safe tena kutumika, bora wanunue new phonesMkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika
"Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani pale Kibaha mkoani Pwani. Simu hizi zilikuwa kwa Afande Mafwele ZCO na leo zimetoka Ofisini kwake.Naomba Viongozi wenye hizi simu, mnajifahamu mliokuwa kibaha, mkachukue simu zenu kwa Kamanda Saragana."
View attachment 3516319
Hakuna ndugu muuaji, jina sahihi anaitwa adui wa taifaipendeni nchi yenu ndo ndugu zenu walipo na makaburi ya babu na bibi zetu yalipo
Ni typing error. Ni watangaze "kuwa" sio "kwa".Mkuu 'Open school', imenibidi nicheke kwa maoni yako haya.
Hao "viongozi wa CHADEMA watangaze kwa polisi", ambao ndio hao hao wezi unaowasema; sasa hili litawezekana vipi?
Na muislamu wenzao wa CCM si ndio?Huo nao moto, masheikh walipelekewa viroba vya mchele vyenye mabomu ndani kisha wakadakwa na kuning'inizwa kende juu
1998-2003Na muislamu wenzao wa CCM si ndio?
Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika