MUME: Mkewangu naumwa sana nasikia maumivu makali sana kwenye moyo naomba upige simu gari la wagonjwa lije,
MKE KAICHUKUA SIMU YAKE FASTA: Haya naomba password ya simu yako
MUME: Ok basi acha najisikia vizuri acha tu hamnashida nimeanza kujisikia vizuri πππ
PS: ILA MIMI NA Madam B tumeshatoka huko simu ni mezani kila mtu akitaka atumie ya mwenzie na akae nayo. ila kama na wewe jasiri jaribu kuacha simu kwa mtu wako halafu uende mjini utaijia jion