Simu zina siri kubwa wanaume au wanawake hata kama anaumwa utaona simu ipo kitandani anahakikisha anayo yeye

Simu zina siri kubwa wanaume au wanawake hata kama anaumwa utaona simu ipo kitandani anahakikisha anayo yeye

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
MUME: Mkewangu naumwa sana nasikia maumivu makali sana kwenye moyo naomba upige simu gari la wagonjwa lije,

MKE KAICHUKUA SIMU YAKE FASTA: Haya naomba password ya simu yako

MUME: Ok basi acha najisikia vizuri acha tu hamnashida nimeanza kujisikia vizuri 😛😛😛


PS: ILA MIMI NA Madam B tumeshatoka huko simu ni mezani kila mtu akitaka atumie ya mwenzie na akae nayo. ila kama na wewe jasiri jaribu kuacha simu kwa mtu wako halafu uende mjini utaijia jion
depositphotos_8190002-stock-photo-husband-has-vertigo-or-heart.jpg
 
Simu zina mengi sana,wengi huzitumia kama kichaka cha kufanyia mambo maovu...
 
Back
Top Bottom