Simuelewi Diamond Kwasasa

Mtu ukiona anafanya remake tena bila lyrical ndio ujue kaishafikia kiwango cha mwisho cha ubunifu
 
Kama ubunifu wa kimuziki umepungue ajikite kwenye biashara awachie kina koho! Koho! Koho!
 
Samahani kwani amewahi kua bonge?
Mwenzio kawekeza pesa zina miminika tu afanye au asifanye mambo yanaenda tu
Mkuu lazima atajikuta user tu wa pesa na bila usimamizi wa mtu aliyesimama vizuri kichwani ataanguka tu.
 
Yupo bize na biashara zingine, muziki una umri, thus wengi uwika ujanani utu uzimani utumia tu
 
Kuhusu unga namkumbuka yule mwanamama Britney Huston. dah R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…