Simuelewi Diamond Kwasasa

Simuelewi Diamond Kwasasa

At least kuna madume mawili yenye wake na familia nyuma yake hayakai chini yanaimba na kusifu jina lake 24/7 hrs.

Haya ni maendeleo makubwa sana.
 
Angekuwa si muwekezaji labda, kwa sasa anaingiza pesa nyingi nje ya muziki zaidi ya anazoingiza kwenye muziki.
Umejuaje,?muziki unalipa maana unainvolve watu wachache ,ukilipwa chako unalipa management na chawa hawazidi kumi,sasa Tv station sijui radio kunakodi na chawas zaidi ya 200 ,yote yanataka kula, unakuta faida ni ndogo tu
 
Jamaa kuna angle mbalimbali nashindwa kumuelewa
Kwanza amepoa sana kwasasa zile pirika pirika zake za mziki attention na maisha yake ya mtandao amepoa

Pia kwenye mziki ni kama hayuko serious sana kwasasa kama zamani sijui anaona nyota yake imedrop naona yuko bize na zuhura tu

Amekonda yule kijana sijui ni rasta au madawa...lakn kwa watu wake wa karibu wanadai jamaa kwasasa anatumia madawa ya kulevya COCAINE
Pirika pirika = pilika pilika. Wewe hata balozi wa nyumba kumi mtaani kwenu anakuelewa?
 
Umejuaje,?muziki unalipa maana unainvolve watu wachache ,ukilipwa chako unalipa management na chawa hawazidi kumi,sasa Tv station sijui radio kunakodi na chawas zaidi ya 200 ,yote yanataka kula, unakuta faida ni ndogo tu
Aisee 🙌🙌🙌🙌hii hesabu ya wapi mkuu.
 
Umejuaje,?muziki unalipa maana unainvolve watu wachache ,ukilipwa chako unalipa management na chawa hawazidi kumi,sasa Tv station sijui radio kunakodi na chawas zaidi ya 200 ,yote yanataka kula, unakuta faida ni ndogo tu
Pamoja na kuwa na employees lukuki a single artist hawezi kuwa anasalia na kipato(baada ya kuwalipa wote wanaostahili kulipwa) zaidi ya media house.
 
Hizi media house cost ya kuzirun ni kubwa sana ni ujanja ujanja tu unatumika kufanya ziendelee kuwepo.
We angalia seeikali na hela zake inayofanya jwa TBC
 
Jamaa kuna angle mbalimbali nashindwa kumuelewa
Kwanza amepoa sana kwasasa zile pirika pirika zake za mziki attention na maisha yake ya mtandao amepoa

Pia kwenye mziki ni kama hayuko serious sana kwasasa kama zamani sijui anaona nyota yake imedrop naona yuko bize na zuhura tu

Amekonda yule kijana sijui ni rasta au madawa...lakn kwa watu wake wa karibu wanadai jamaa kwasasa anatumia madawa ya kulevya COCAINE
Ameshatengeneza legacy yake! Ameshaziishi ndoto zake hana cha kupoteza
 
Back
Top Bottom