Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni fundi wa madishi hapo pugu kajiungeni chief!Diamond ndiyo nani?
Zitaisha tuKeshatengeneza pesa sasa haoni jipya.
Angekuwa si muwekezaji labda, kwa sasa anaingiza pesa nyingi nje ya muziki zaidi ya anazoingiza kwenye muziki.Zitaisha tu
Umejuaje,?muziki unalipa maana unainvolve watu wachache ,ukilipwa chako unalipa management na chawa hawazidi kumi,sasa Tv station sijui radio kunakodi na chawas zaidi ya 200 ,yote yanataka kula, unakuta faida ni ndogo tuAngekuwa si muwekezaji labda, kwa sasa anaingiza pesa nyingi nje ya muziki zaidi ya anazoingiza kwenye muziki.
Pirika pirika = pilika pilika. Wewe hata balozi wa nyumba kumi mtaani kwenu anakuelewa?Jamaa kuna angle mbalimbali nashindwa kumuelewa
Kwanza amepoa sana kwasasa zile pirika pirika zake za mziki attention na maisha yake ya mtandao amepoa
Pia kwenye mziki ni kama hayuko serious sana kwasasa kama zamani sijui anaona nyota yake imedrop naona yuko bize na zuhura tu
Amekonda yule kijana sijui ni rasta au madawa...lakn kwa watu wake wa karibu wanadai jamaa kwasasa anatumia madawa ya kulevya COCAINE
Milija ndo nini dogoUkishatengeneza milija ya kuingiza hela hata mda wa kutengeneza mziki unakuwa huna.
Halafu mziki sio kazi ya kufanya milele cha msingi kuinvest kwa kila ukipatacho
Vitega uchumi.Milija ndo nini dogo
Aisee 🙌🙌🙌🙌hii hesabu ya wapi mkuu.Umejuaje,?muziki unalipa maana unainvolve watu wachache ,ukilipwa chako unalipa management na chawa hawazidi kumi,sasa Tv station sijui radio kunakodi na chawas zaidi ya 200 ,yote yanataka kula, unakuta faida ni ndogo tu
Ni Imamu wa msikiti wa Al qusda hapa nguriati.Diamond ndiyo nani?
Pamoja na kuwa na employees lukuki a single artist hawezi kuwa anasalia na kipato(baada ya kuwalipa wote wanaostahili kulipwa) zaidi ya media house.Umejuaje,?muziki unalipa maana unainvolve watu wachache ,ukilipwa chako unalipa management na chawa hawazidi kumi,sasa Tv station sijui radio kunakodi na chawas zaidi ya 200 ,yote yanataka kula, unakuta faida ni ndogo tu
Good question.Aisee [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]hii hesabu ya wapi mkuu.
😅😂AiseeeNi Imamu wa msikiti wa Al qusda hapa nguriati.
Hizi media house cost ya kuzirun ni kubwa sana ni ujanja ujanja tu unatumika kufanya ziendelee kuwepo.Pamoja na kuwa na employees lukuki a single artist hawezi kuwa anasalia na kipato(baada ya kuwalipa wote wanaostahili kulipwa) zaidi ya media house.
Ameshatengeneza legacy yake! Ameshaziishi ndoto zake hana cha kupotezaJamaa kuna angle mbalimbali nashindwa kumuelewa