Simuelewi Diamond Kwasasa

Simuelewi Diamond Kwasasa

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Jamaa kuna angle mbalimbali nashindwa kumuelewa
Kwanza amepoa sana kwasasa zile pirika pirika zake za mziki attention na maisha yake ya mtandao amepoa

Pia kwenye mziki ni kama hayuko serious sana kwasasa kama zamani sijui anaona nyota yake imedrop naona yuko bize na zuhura tu

Amekonda yule kijana sijui ni rasta au madawa...lakn kwa watu wake wa karibu wanadai jamaa kwasasa anatumia madawa ya kulevya COCAINE
 
Back
Top Bottom