inaonekana hukuelewa au upo tofauti.....
mtu amekiri kuwa ni yeye ndie aliekosea in the first place....
sasa hapo mwanamke ana haki ya kudeka na kudeka...
The Boss,
Unaweza kutafuta njia ya kumfurahisha mwenzio lakini yeye akawa hataki kufurahishwa, na muanzishaji wa thread amesema amefanya kila jitihada binafsi hamna kitu je wewe unadhani afanye nini?
Pole sana,
Give her some space,she needs it,inakera mwanaume ukionyesha uko desperate kwa mwanamke......umemkosea,umetimiza wajibu wako wa kuomba msamaha na umemuomba yaishe yeye anakuchenga.....muonyeshe there is life without her,be strong my brother......
Inawezekana alikuwa anasubiri ukosee afanye hilo,usijilaumu sana wewe ni mwanadamu tena mwenye busara umejirudi ukaomba msamaha,hata kama umekuwa na relationship 200,if she was not meant for you,ndo basi tena.....time is a healer,let time define her actions....
Kila la kheri,ushauri wangu,mpe muda wa kuamua tena vizuri ukiweka time framework na ukamwambia,hajaamua by that time....LET HER GO,Mungu ni wa rehema,atakujalia mwingine au atamuelewesha kwa njia zake huyo dada thamani ya mwanaume aliyempoteza then atarudi na kama itakuwa poa utampokea ,kama sio itabidi yeye aanze maisha mengine.

kaka hawa wanawake ni janga la kimataifa kwa wanaume, hawaeleweki. Bora ya we mligombana wengine hata ugomvi hamna but tunayoyapata ni makubwa kuvumilia.
pole......
hapo ni kama anakuacha kisanii...
Where Have you been ??, has JF become so Huuge hadi hatuonani??, Hope you are Okay Though Welcome Back.....huyo ameumia,mpe time to recover.....
...au bado anachuja kama uhusiano wenu uendelee au ukome.....
..endelea kubembeleza huku ukionyesha wazi umejirekebisha makosa yako.....
Pole sana,
Give her some space,she needs it,inakera mwanaume ukionyesha uko desperate kwa mwanamke......umemkosea,umetimiza wajibu wako wa kuomba msamaha na umemuomba yaishe yeye anakuchenga.....muonyeshe there is life without her,be strong my brother......
Inawezekana alikuwa anasubiri ukosee afanye hilo,usijilaumu sana wewe ni mwanadamu tena mwenye busara umejirudi ukaomba msamaha,hata kama umekuwa na relationship 200,if she was not meant for you,ndo basi tena.....time is a healer,let time define her actions....
Kila la kheri,ushauri wangu,mpe muda wa kuamua tena vizuri ukiweka time framework na ukamwambia,hajaamua by that time....LET HER GO,Mungu ni wa rehema,atakujalia mwingine au atamuelewesha kwa njia zake huyo dada thamani ya mwanaume aliyempoteza then atarudi na kama itakuwa poa utampokea ,kama sio itabidi yeye aanze maisha mengine.
Where Have you been ??, has JF become so Huuge hadi hatuonani??, Hope you are Okay Though Welcome Back...
siku hizi hamu ya kuchat facebook na kuinteract online in general imepungua,,,,sijui nazeeka???:laugh::laugh::laugh::laugh:miss you too VOR...
Thanks Michelle, thnx 4 ur encouragement. hop I'l stand by ur words.
Yaani Michelle ungekuwa karibu ningekununulia hata chupa moja ya kilaji ya ndovu ya chupa ndogo (kama hutumii basi ningekupa ice cream) Yaani huu ni ushauri murua kabisa! Ubarikiwe...
Mi nadhani katika maisha ni kumuonyesha mtu (awe mwanaume au mwanamke) kwamba there is life without him/her. Kama mmeshindwa kukubaliana. Unajua ukiwa desparate na relationships....utaumia kichwa bure!
I wish you luck.
Wandugu, :sad:
Ni GF wangu ambaye kwa kipindi kirefu ka miez 3 hivi tumekuwa kwenye mis'understandings, na nimemuomba sana msamaha but amekuwa mgumu kunisamehe.
Cha kushangaza ni kwamba kila akiongea na rafiki zake au dada yake anawaambia kuwa tumeshasolve na ku-clear our differences, but ukweli ni kwamba bado hajanisamehe.
Sasa juzi kati kaniambia kuwa Amenisamehe lakini hawezi kuwa kwenye relationship tena, ikabidi nimuombe rafiki yake anibembelezee, cha ajabu alichomwambia huyu rafiki yake ni kuwa mimi na yeye hatujaachana.
Wandugu kwa kweli huyu mtu ananichanganya sana, maana ki ukweli ni kwamba nampenda sana huyu binti na yote haya mimi ni sababu, lakini nimeshatubu. Sometimes nafeel ni give up, but naamua kuendeleza mapambano.
Nashindwa kabisa kuelewa msimamo wa huyu GF wangu, labda nisaidieni wandugu, hii tabia inaashiria nini? Shud I move on or ni-stick no mata wat?:sad:
siku hizi hamu ya kuchat facebook na kuinteract online in general imepungua,,,,sijui nazeeka???:laugh::laugh::laugh::laugh:miss you too VOR...
Hakuna jambo linalofanywa bila malengo... jaribu ushauri hapo juu lakini ikishindikana mwaga mbio..... Ulikuwa na maisha yako kabla yake na utaendelea kuwa na maisha yako baada ya huo uhusiano wenu!!! Wewew mwanamume!!!! Siku zote binadamu tunakosea sababu sisi sio malaika ila cha msingi ni kugundua kosa lako na kujisahihisha ili usijelirudia tena.... sasa kama umekiri kosa na kuomba msamaha na bado mtu hataki kukusamehe, achana nae atakuletea taabu mbeleni!!!!!Pole sana Mkuu...wengine huwa na tabia hiyo ya kusema wamesamehe lakini ukweli ni kwamba hawajafanya hivyo. Mueleze ukweli jinsi ambavyo unavyompenda na pia kutaka muendelee na penzi lenu lakini kama bado unamuona ana dukuduku moyoni basi muombe akueleze kinachojiri hadi awe katika hali kama hiyo labda inawezekana bado kuna kitu kinamsumbua ndiyo maana anashindwa kukusamehe 100%